dah...itakuwa ngumu sana sijui....lakini ngoja niombe nacho MunguUtatoboa kweli mwezi?
Wapi[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji28]Sawa mjuni rwegasira
😂😂😂mambo ya kuomba mungu tena??dah...itakuwa ngumu sana sijui....lakini ngoja niombe nacho Mungu
Sio mhaya mm[emoji23][emoji1787][emoji28]Sawa mjuni rwegasira
Hahaha nilitania tuu mkuuSio mhaya mm[emoji23][emoji1787][emoji28]
Hahaha tunapambana na tozoWengine tunatumia wi-fi kwa kuibia jengo la jirani.
Kweli mkuu.Hahaha tunapambana na tozo
Usiwaze MrHahaha nilitania tuu mkuu
Tumia TOR Browser Amna kitu ataona mtuyeyote juu ya hii Dunia labda wewe mwenyeweOy Hivi WiFi ukitumia Kuna uwezekano wa mwenye WiFi kujua mpaka website uliyoingia???Kuna WIfi za kazini hapa vijana wanachimbana mabiti
Nikaweja ma terabyte data usage warning [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji28]Mb 204 per day. 1.5 gb per week View attachment 1928458
Umedownload app ipiNikaweja ma terabyte data usage warning [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji28]