mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,440
- 3,553
Siku 7 na zinabaki mb kama 400 na zaidi
Ndio mkuu, JF,wasap, Twt, hazitumii sana MB... kidogo Youtube, nayo naingiaga kuangalia vitu muhim muhim.Unatumia JF, YouTube, twitter na WhatsApp halafu GB 1 inasurvive siku 4?
Nilijiunga kifurushi kama chako kwa 20k, mtandao huo huo, ilikuwa tarehe 1, leo nina gb 4 zinakimbilia gb3!!mimi baada ya kuona mb zilikuwa zinanimalizia sana vocha nikaamua kuwa najiunga kifurushi cha 20k tigo napata mb zangu 10 nahanaika nazo kiubishi ubishi mwezi mzima...hiki cha sasa nimejiunga tarehe 1...mpaka hii leo nina gb 6 kati ya gb10 nilizopata
Siku moja tuu
Wiki nzima hadi zinabaki, nikinunua kingine zinakuwa active tena.Mimi nikijibana sana hazizidi siku mbili, wewe je huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?
Ova,Mm natumia GB 2.5 kila siku.
Tuma salamu kwa watu watatuWiki mbili na inabakiii
Siku saba
Ukitaka GB1 moja ikae basi usiingie Sana Utube
Unatakiwa kwenda kuwauliza wakutajie kwanini uteseke?Daah kuna jengo moja lina ofisi nyingi nipo karibu nalo home,basi unaona tu wifi zipo on tatizo mpk password
Wiki nzima hadi zinabaki, nikinunua kingine zinakuwa active tena.
Halotel hiyo, Voda nimewasusa hadi wakaanza kunitumia sms kuwa sijatumia mtandao wao kwa muda mrefu wakati line ipo hewani kila siku.
Siku 1 na haitoshMimi nikijibana sana hazizidi siku mbili, wewe je huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?
Siku 1 na haitosh