Huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?

Huwa unatumia 1GB kwa siku ngapi?

mimi baada ya kuona mb zilikuwa zinanimalizia sana vocha nikaamua kuwa najiunga kifurushi cha 20k tigo napata mb zangu 10 nahanaika nazo kiubishi ubishi mwezi mzima...hiki cha sasa nimejiunga tarehe 1...mpaka hii leo nina gb 6 kati ya gb10 nilizopata
 
Screenshot_20210821-193134.png.jpg
 
Back
Top Bottom