Huu sio ubinadamu kabisa

Huu sio ubinadamu kabisa

Tatizo letu ni kutofuata sheria. Ikitokea kitu tunakimbilia ubinadamu, tunasahau kuwa sheria ni msumeno. Watu wanadai simu yake ni kitechno kidogo haiwezi kutumika kuibia. Kuibia siyo lazima uwe na simu janja. Kuibia siyo lazima kwa intaneti. Unaweza ukahifadhi taarifa na notisi kwenye message na ukaibia saana. Wahusika wana haki ya ku"enforce examination rules and regulations". Mhusika atalazimika kuwajibika kwa makosa aliyoyafanya.

Ni kweli Kabisa.
Hapo atumie tuu mbinu ya kujiliza kama ishu haijafika mbali
 
Thubutuuuuu,
😅😅😅 mbinu za kimedani zipo mingii sanaaaa.. sema kuna pepa moja nilipiga lilikuwa la nje jamaa ni konyooo, na laptop hiyo unayo hapo mtihani ulikuwa siku tatu lakini wapiiii.. wa kwanza nili fail .. nikarudia wa pili ndio nikatoboa .. hata kuandaa nondo lazima uwe na akili
 
Yap, nakubaliana na wewe. Ila dogo alikuwa third year, muhula wa mwisho. Alilia sana asaidiwe, ila ndo hivyo akawa amejeruhiwa mazima.
Yale ma ajali kama ma ajali mengine.. maana mie hadi mtihani wa mwisho nimetumia nyanga ile fresh upepo ulikuwa upande wangu. Miaka mitatu lazima ulie sana maana kama unaanza chuo unaanza sifuri tena
 
Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.

Ipo hivi, Kuna dogo anasoma MUST mwaka wa tatu, alijisahau akaingia na simu ndogo (kiswaswadu) kwenye chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.

Sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani .

Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi.

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Kwan sheria ya mitihan inasemaje
 
wanakamatwa wasio na ushawishi.. usitumiee hayo makitu kama hujampanga msimamizi au msimaizi sio mwanaaa.. Mchezo unachewa nje, msimamizi ananunuliwa kabla ya kuingia chumba cha mtihani 😅😅😅 akiingia anakuwa kama msukule tu hadi mnapiga story.. naona ma lecture wakuda wanataka wanijue wafute degree na msc yangu 🤣🤣🤣🤣 acha nikaushe
Hivi unajuwa kuwa wafuatiliaji wa vyeti halisi wanaweza kuwasilisha hati ya kutaka taarifa zako JF ili wakufungulie kesi ya kuibia mitihani. Kwa vile kuibia mitihani ni kosa la jinai "punishable" kwa kufutiwa mitrihani na kunyang'anywa vyeti, usibwatuke ukajajikuta vyeti vyako vinayeyuka.
 
Kikubwa nilimaliza salama na G.P.A swaaafi, na kazi zangu ni nzuri sana nazofanya yani zina quality 😅😅😅 elimu ya darasani sio kipimo cha ubora au ubaya wa kazi, kuna ambao hawajasoma wapo smart sana kwenye miradi kwa uzoefu kuliko G.P.A temboo.. banaaa wews fanya linalowezekana kikubwa umalize upewe cheti chako kazi utajifunza mtihani, elimu ya Tz ilisha vurugwaaa
You need to be shamed and if possible your real identity exposed, so that you pay for the crime! You are criminal, I don't know what morals you teach your kids, if you have any!
 
Hivi unajuwa kuwa wafuatiliaji wa vyeti halisi wanaweza kuwasilisha hati ya kutaka taarifa zako JF ili wakufungulie kesi ya kuibia mitihani. Kwa vile kuibia mitihani ni kosa la jinai "punishable" kwa kufutiwa mitrihani na kunyang'anywa vyeti, usibwatuke ukajajikuta vyeti vyako vinayeyuka.
😅😅😅 Unatisha nyau, wavifute tu wabatilishe matokeo kabisa.. makaratasi hayo ya nini tena. Kama wakitaka waje tu PM nawapa majina kamili, chuo, mwaka na course maana taarifa za JF zote za uowongo hawatokuwa na uwezo wa kupata mlengwaa.. ila sasa hivi nafanya kazi kwa kuitwaa mkuu mavyweti hayana dili tena kazi zangu elimu tosha
 
kwanza mpe pole. Ila kama alichokisoma kakielewa wala asijali kufeli mtihani sio kufeli maisha. Ila kama alitegemea kuajiriwa hapo ndo kafeli
 
You need to be shamed and if possible your real identity exposed, so that you pay for the crime! You are criminal, I don't know what morals you teach your kids, if you have any!
Mkuu, nikuambie wazi wazi.. Nimeanza tumia nondo secondary hakuna mtihani sijawai tumia nondo hadi nimemaliza chuo ... sehemu pekee ambayo sijatumia nondo ni kwenye certification za kimataifa maana zile hata nondo hazidui dafu 😅😅 . Mie mbumbu tu ndio maana nilikuwa natumia njia mbadala, ningefeli ningekuwapi mie.. maisha ni vita tumia mbinu yoyote kutoboa
 
Wabongo tuna excuse za kijinga badala ya kukubali kuwa tumekosa tunaona tumeonewa.

Sheria ni msumeno..))
Sawa na mtu ananyandua demu kavukavu demu kapata mimba anakuambia ile ni bahati mbaya!!
Seriously!??
 
Mkuu, nikuambie wazi wazi.. Nimeanza tumia nondo secondary hakuna mtihani sijawai tumia nondo hadi nimemaliza chuo ... sehemu pekee ambayo sijatumia nondo ni kwenye certification za kimataifa maana zile hata nondo hazidui dafu . Mie mbumbu tu ndio maana nilikuwa natumia njia mbadala, ningefeli ningekuwapi mie.. maisha ni vita tumia mbinu yoyote kutoboa
 
Back
Top Bottom