Pole kwake.Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.
Ipo hivi, Kuna dogo anasoma MUST mwaka wa tatu, alijisahau akaingia na simu ndogo (kiswaswadu) kwenye chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.
Sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani .
Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi.
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Sijapenda😂😂wewe ni lecturer au msimamizi wa maktaba mkuu😂
Mie sitaki kukumbukaa kabisaa, sio kwa nuksi ile, maisha yangu situmii nondo afu necta nitumie aaaah wapiiiii.Watu tulikuwa tunaiba booklete inajazwa kila kitu, unaingia nayo, ile unayoepewa unaipiga chini unaanza tumia uliyo ingia nayoo... then unaomba booklet ingine unapanga sasa majibu vizurishule raha sanaaa
Umekuja na aidii mpya Ili uni-convinceNimeelezwa na huyo dogo yupo hapo MUST kama ni wewe kweli naomba umsaidie bwana mdogo.atakuwa amejifunza naamini hatorudia tena
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Tatizo letu ni kutofuata sheria. Ikitokea kitu tunakimbilia ubinadamu, tunasahau kuwa sheria ni msumeno. Watu wanadai simu yake ni kitechno kidogo haiwezi kutumika kuibia. Kuibia siyo lazima uwe na simu janja. Kuibia siyo lazima kwa intaneti. Unaweza ukahifadhi taarifa na notisi kwenye message na ukaibia saana. Wahusika wana haki ya ku"enforce examination rules and regulations". Mhusika atalazimika kuwajibika kwa makosa aliyoyafanya.Dogo Mwaka wa tatu alafu anafanya mambo kama First year.
Dogo afukuzwe, angekuwa Mwaka wa kwanza walau tungesema bado ni mdogo, lakini Mwaka wa tatu alafu anafanya vitu vya hivyo, huyo ni kubwa Jinga.
Anavosema alifanya mtihani na akawa anaondoka mlangoni ndo akakuta jamaa anasachi mfukoniPole kwake.
Kuna malecturer ni katili sana, wanasababisha elimu inakuwa kama vita.
Ilikuwaje na yeye akaingia na simu na ilikuwaje ikajulikana kama anayo?
Nyie magenious 😅😅😅.. sie tia maji tia maji suport document muhimu.. paper ya mwisho nakumbuka nilikuwa na smartphoneeeee.. booklet, kibomu pembeni kulikuwa na pisi ikatumika kama agent 🤣🤣🤣Mie sitaki kukumbukaa kabisaa, sio kwa nuksi ile, maisha yangu situmii nondo afu necta nitumie aaaah wapiiiii.
HatariTatizo letu ni kutofuata sheria. Ikitokea kitu tunakimbilia ubinadamu, tunasahau kuwa sheria ni msumeno. Watu wanadai simu yake ni kitechno kidogo haiwezi kutumika kuibia. Kuibia siyo lazima uwe na simu janja. Kuibia siyo lazima kwa intaneti. Unaweza ukahifadhi taarifa na notisi kwenye message na ukaibia saana. Wahusika wana haki ya ku"enforce examination rules and regulations". Mhusika atalazimika kuwajibika kwa makosa aliyoyafanya.
Nyie magenious.. sie tia maji tia maji suport document muhimu.. paper ya mwisho nakumbuka nilikuwa na smartphoneeeee.. booklet, kibomu pembeni kulikuwa na pisi ikatumika kama agent
![]()




Sheria ni msumeno kwakweli.Eshimuni mamlaka zinazo waongoza, tii sheria bila shuruti
Nyie magenious.. sie tia maji tia maji suport document muhimu.. paper ya mwisho nakumbuka nilikuwa na smartphoneeeee.. booklet, kibomu pembeni kulikuwa na pisi ikatumika kama agent
![]()



sio zama hizi, sio genius ila mie hapana kwa Nondo. Bora nifeli tyuuh.Kikubwa karatasiii mkuu upewe basi umelipataje sio issue 😅😅
Kikubwa karatasiii mkuu upewe basi umelipataje sio issue![]()

kujua imepatikanaje sio kipaumbele
wanakamatwa wasio na ushawishi.. usitumiee hayo makitu kama hujampanga msimamizi au msimaizi sio mwanaaa.. Mchezo unachewa nje, msimamizi ananunuliwa kabla ya kuingia chumba cha mtihani 😅😅😅 akiingia anakuwa kama msukule tu hadi mnapiga story.. naona ma lecture wakuda wanataka wanijue wafute degree na msc yangu 🤣🤣🤣🤣 acha nikaushesio zama hizi, sio genius ila mie hapana kwa Nondo. Bora nifeli tyuuh.
Sasa ndo km hivi Una kamatwaa, then?? Aaaah
Kikubwaa ushindi mkuu 😅😅😅 umeshindaje haiwahusu hiyo