Huu sio ubinadamu kabisa

Huu sio ubinadamu kabisa

Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.

Ipo hivi, Kuna dogo anasoma MUST mwaka wa tatu, alijisahau akaingia na simu ndogo (kiswaswadu) kwenye chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.

Sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani .

Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi.

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Sheria imetaja hairuhusiwi kuingia na simu haijataja simu aina gani.

Hapo kujitetea kwamba sijui niliingia na kiswaswadu hoja haina mashiko.

Hata kiswaswadu unaweza kuandika majibu kwenye sehemu ya sms ukahifadhi draft.
 
Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.

Ipo hivi, Kuna dogo anasoma MUST mwaka wa tatu, alijisahau akaingia na simu ndogo (kiswaswadu) kwenye chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.

Sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani .

Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi.

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Sheria ya chuo inasemaje kuhusu kosa hilo?
 
Ndio maana wahasibu wengi ni sufuri hata excel inawasumbua
Mh ndio vyuo vilivyo skuhizi nakumbuka nikiwa chuo cha uhasibu hukaguliwi umeingia na simu au uchafu gani leo kiswaswadu kiachwe nyumbani ila akaongee na uongozi watamsikiliza na sio waende wakalalamike wataharibu
 
sijui huko alipo ila kwa UDSM bora hata umpige mwalimu ngumi unaweza kutoboa ila simu hata iwe housing tu na haiwaki, jua umeisha ni lazima ufukuzwe chuo!!

iwe ilikuwa haiwaki au haina display as long as ni simu, wewe ni bye bye na kibachosikitisha zaidi process za kumfuta mtu cguo huchukua muda unaweza kuta umekamatwa kwenye pepa la semester 1 ukafanya mpaka mitihani ya semester ya pili, ila mwaka unaofuata unashangaa barua hii hapa
 
Lect aliemkamata ni wa kike?
Kuna siku nimekaa na Manzi paper ya Civil procedure kumbe bhana kachora kwenye ACt mara msimamizi huyu hapa duh ilikuwa balaa Manzi afu alikua mjamzito hapo hapo akafukuzwa chuo na kujifungua juu mtot akafariki duh sitakuja kusahau
 
Upo sahihi mkuu.sasa nashindwa kuelewa kwanini kwenye makosa kama haya hawana mda wa kuangalia vitu kama hivyo, wao ni kufukuza Moja Kwa Moja.

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Binadamu tunatofautiana katika suala la maamuzi, kuna mwingine ataangalia
1. Sheria (ukikamatwa na simu) unatakiwa ufukuzwe. Atasoma maandishi na atahukumu kwa maandishi. Mara nyingi huu upande wanaotoa maamuzi ni wale wataka sifa waonekane wanafanya kazi.
2. Ataangalia sheria + busara (huyu sawa na mwanangu, ndugu yangu n.k)
3. Ataangalia sheria + mazingira
4. Ataangalia sheria + mazingira + busara.
Mkasa wangu
Nilikuwa maktaba ya chuo fulani nasoma na hawaruhusu mtu kuweka mlio wa simu (ikipigwa inatoa mlio wa ringtone) au kupokea simu. Unatakiwa uweke silent au vibration ili upokee lazima utoke nje. Ukikamatwa faini 50,000.
Sasa mm nilikuwa nimeweka vibration, nikapigiwa simu nikapokea kumbe wameniona. Nimemaliza kuongea wakaja walikuwa watatu (mwanaume mmoja na wanawake wawili). Yule mwanaume akachukua kitambulisho changu akitaka nikalipe 50,000 benk na kisha anipeleke kwa dean kwa utovu wa nidhamu. Maamuzi yakafanyika, ila wale wadada wakawa wanapingana na yule mwanaume kuwa ni bahati mbaya huenda kafanya kwa kujisahau na huwa wananiona pale nakuja kusoma na sina shida yoyote.
Sasa wale wakinadada wakagaeuka wakaanza kunitetea tena kwa yule jamaa kuwa anisamehe na isitoshe, mimi ni mwanaume mwenzake ila yule jamaa akakomaa baadae ikibidi anisamehe na kunipa kitambulisho changu. Ya kawa yameisha na sikutoa hata 100.
Kuna kipindi nilipigana chuo ila nashukuru wale walezi wa bweni waliyamaliza kifamilia (kibusara) maana ingeenda mbele ningefukuzwa chuo.
Jaribu kuongea na dean maana wapo wenye busara na hekima watasaidia kumaliza hilo tatizo.
 
Hata akifukuzwa aombe partial transcript na aongee na open University au chuo kingine akamalizie shule yake kwingine
 
Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.

Ipo hivi, Kuna dogo anasoma MUST mwaka wa tatu, alijisahau akaingia na simu ndogo (kiswaswadu) kwenye chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.

Sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani .

Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi.

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Binamu hatuna jema,Walimu/Wakufunzi wa vyuo wakilegeza Sheria na taratibu tunakuja hapa JF kulaumu,Wakiwa strictly kufuata Sheria na taratibu tunasema hawana ubinadamu.Mtoa Uzi umeandika Uzi wa lawama Wakati huo mhusika hajafukuzwa Chuo,je akifukuzwa si utaenda kuloga Kabisa?.Kuwa mvumilivu,Subiri taratibu za Chuo.
 
sijui huko alipo ila kwa UDSM bora hata umpige mwalimu ngumi unaweza kutoboa ila simu hata iwe housing tu na haiwaki, jua umeisha ni lazima ufukuzwe chuo!!

iwe ilikuwa haiwaki au haina display as long as ni simu, wewe ni bye bye na kibachosikitisha zaidi process za kumfuta mtu cguo huchukua muda unaweza kuta umekamatwa kwenye pepa la semester 1 ukafanya mpaka mitihani ya semester ya pili, ila mwaka unaofuata unashangaa barua hii hapa
Ndo hapo sasa kinachoumaa, daaaah
 
Binamu hatuna jema,Walimu/Wakufunzi wa vyuo wakilegeza Sheria na taratibu tunakuja hapa JF kulaumu,Wakiwa strictly kufuata Sheria na taratibu tunasema hawana ubinadamu.Mtoa Uzi umeandika Uzi wa lawama Wakati huo mhusika hajafukuzwa Chuo,je akifukuzwa si utaenda kuloga Kabisa?.Kuwa mvumilivu,Subiri taratibu za Chuo.
Dalili zote zinaonyesha atafukuzwa

Back
Top Bottom