Huu sio ubinadamu kabisa

Huu sio ubinadamu kabisa

Kuna siku nimekaa na Manzi paper ya Civil procedure kumbe bhana kachora kwenye ACt mara msimamizi huyu hapa duh ilikuwa balaa Manzi afu alikua mjamzito hapo hapo akafukuzwa chuo na kujifungua juu mtot akafariki duh sitakuja kusahau
 
Ongea na dean of students hiyo issue inaweza pata Msaada Maana kuingia na simu ni kosa so ubinadamu unabidi kutumikishana zaidi
Sheria bila busara ni ukandamizaji.
Hata mtu akiuua huwa wanaangalia km mtu alikusudia au ilikuwa ni bahati mbaya.
 
Dogo amevunja sheria na hana wa kumlaumu.
Kama msamaha tunamuombea apewe kwa huruma tu.
 
wanakamatwa wasio na ushawishi.. usitumiee hayo makitu kama hujampanga msimamizi au msimaizi sio mwanaaa.. Mchezo unachewa nje, msimamizi ananunuliwa kabla ya kuingia chumba cha mtihani akiingia anakuwa kama msukule tu hadi mnapiga story.. naona ma lecture wakuda wanataka wanijue wafute degree na msc yangu acha nikaushe
khaaaah wee.
Sasa wee pesa ulikua nazo, wasiokua nazo je? Watatoa wapi za kuhonga.
 
Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.

Ipo hivi, Kuna dogo anasoma MUST mwaka wa tatu, alijisahau akaingia na simu ndogo (kiswaswadu) kwenye chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.

Sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani .

Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi.

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Sheria ni katili sana.
 
Sema tu ni wewe Ili usaidiwe..

anyway, Mimi ni lecturer hapo MUST na Ndie niliekukamata na simu.. umeona uje huku jeiefu ukidhani sipo? Hili suala nakuhakikishia ntalivalia njuga hadi ufukuzwe chuo
Hivi mnajisikiagaje ku comment ujinga?
 
Watu tulikuwa tunaiba booklete inajazwa kila kitu, unaingia nayo, ile unayoepewa unaipiga chini unaanza tumia uliyo ingia nayoo... then unaomba booklet ingine unapanga sasa majibu vizuri 😅😅😅😅 shule raha sanaaa
Yaani wewe hapo unaona ni sifa kubwa kuibia na kupata cheti au degree usiyostahili. Wakijuwa wakakunyag'anya hiyo degree utawatangazia ubaya mpaka motoni. Yaani unajisifu kuibia. Ndiyo maana wale wanaoiba serkalini na mashirika ya taifa na kujenga mahekalu husifiwa na wale wanaofanya kazi kwa uaminifu hutukanwa kama wajinga wasiokuwa na akili. Hii ndiyo TZ yetu. Ninyi ndiyo wahusika katika kushusha hadhi ya elimu ya TZ. Ndiyo ninyi mliyopata degree za civil engineering kwa michongo na kuibia mkawa mnasimamia majengo yaliyopkuja kuporopomoka kwa sababu vyeti mlivipata pasipo kupita mitihani kihalali. Lakini sasa mnajisifu na mnataka Wataqnzania wengine wapitie njia zenu. HATA AIBU HAMNA.
 
Kipindi nipo law school of Tanzania, Kuna jamaa mmoja aliwahi kuingia na sheria ambayo haikutajwa kwenye instructions. Camera ikammulika. Alidisco
 
Ninyi ndiyo wahusika katika kushusha hadhi ya elimu ya TZ. Ndiyo ninyi mliyopata degree za civil engineering kwa michongo na kuibia mkawa mnasimamia majengo yaliyopkuja kuporopomoka kwa sababu vyeti mlivipata pasipo kupita mitihani kihalali. Lakini sasa mnajisifu na mnataka Wataqnzania wengine wapitie njia zenu. HATA AIBU HAMNA.
Kikubwa nilimaliza salama na G.P.A swaaafi, na kazi zangu ni nzuri sana nazofanya yani zina quality 😅😅😅 elimu ya darasani sio kipimo cha ubora au ubaya wa kazi, kuna ambao hawajasoma wapo smart sana kwenye miradi kwa uzoefu kuliko G.P.A temboo.. banaaa wews fanya linalowezekana kikubwa umalize upewe cheti chako kazi utajifunza mtihani, elimu ya Tz ilisha vurugwaaa
 
Back
Top Bottom