Huu sio ubinadamu kabisa

Huu sio ubinadamu kabisa

Hiyo ilikuaje ina Maana kulikuwa hakuna special exam?
hakuna namna hapo, labda aanze na serikali ya wanafunzi wa chuo

umenikumbusha kisa kimoja hivi mabibo campus
jamaa yupo room anatia msuli, akijua mtihani ni saa 8 mchana ( 08:30 hrs )
kumbe ni saa 2 asubuhi, jamaa ni disco moja kwa moja
alipiga magoti sana utawala kule, haikusaidia
 
Aisee inauma,hivi kwanini Hawa watu Huwa hawafikirii kwamba kunakusahau

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Kuingia na simu kwenye chumba cha mtihani iwe bahati mbaya au makusudi ni kosa katika sheria za vyuo. Sheria ikishasema ni kosa uninadam unakaa pemben maana kila mtu angekua anahukumiwa kwa kutumia ubinadam na sio sheria magereza mengi sana yangeku wazi.
Kiswaswadu kinaweza kuhifadhi sms nyingi sana zaid ya unavyowaza na hapo mtu anajitumia au anatuma zinabaki kwenye inbox au sent items anazisoma wakati wa paper anajibu.
Kujisahau na ukakuta umefanya kosa is not an excuse to be exempted from the consequences
 
Sasa mkuu kisimu kitecno kinahifadhi nn

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app

Hizohizo dharau ndio zitamuondoa chuo.
Isiyohitajika ni simu bila kujali Aina ya simu.

Akizidi kuona yupo Sahihi na asipoona amekosea, atafukuzwa Kweli.
Alafu hatajifunza Wakati mwingine akiwa katika mazingira mengine .
 
Sheria haisemi aina ya simu, inasema tu simu. Kwahiyo hapo kuchomoka ngumu.

Ushauri:
Mwambie akate rufaa ya hiyo hukumu (rufaa inakuaga ikatwe ndani ya week mbili tokea hukumu) hapo case yake itapelekwa kwenye bodi ya chuo.

Hapo mara nyingi uwa case inapunguzwa na kufutiwa somo au kuambiwa arudie hiyo semester.

Ikifeli na hapo anaweza kukata tena rufaa na sasa case ikasikilizwa na mahakama.
 
Hata Kama ni UE usipofanya si Kuna special ambayo hufanyika siku za Sup.? Itakuwa chuo cha UD sheria zake ni Kama primary maana siku ya EU kuna ambao wanaumwa au dharula za hapo na pale . Inasikitisha Sana.
ni UD mzee, na ilikua UE, kwanza ukizidi nusu saa tu baada ya pepa, ndiyo kwa heri
 
Hata Kama ni UE usipofanya si Kuna special ambayo hufanyika siku za Sup.? Itakuwa chuo cha UD sheria zake ni Kama primary maana siku ya EU kuna ambao wanaumwa au dharula za hapo na pale . Inasikitisha Sana.
ukikosa paper kwa sababu ya ajabu ajabu, ni INCOMPLETE, disco moja kwa moja
 
Sheria haisemi aina ya simu, inasema tu simu. Kwahiyo hapo kuchomoka ngumu.

Ushauri:
Mwambie akate rufaa ya hiyo hukumu (rufaa inakuaga ikatwe ndani ya week mbili tokea hukumu) hapo case yake itapelekwa kwenye bodi ya chuo.

Hapo mara nyingi uwa case inapunguzwa na kufutiwa somo au kuambiwa arudie hiyo semester.

Ikifeli na hapo anaweza kukata tena rufaa na sasa case ikasikilizwa na mahakama.
Asante mkuu

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Kuna baadhi ya watu wamekosa kabisa ubinadamu na kujiona wao ni watu waliosahihi na hawatawahi kukosea.

ipo hivi Kuna dogo anasoma Must mwaka wa tatu MUST alijisahau akaingia na simu ndogo(kiswaswadu) kweny chumba Cha mtihani lakini inavoonekana atafukuzwa chuo Kwa kosa la kuingia na simu ndan ya chumba Cha mtihani.sasa nachojiuliza hivi ni kweli binadamu wamekuwa na roho mbaya kiasi hiki ambapo simu aliyoingia nayo Haina hata uwezo wa kufungua internet Wala PDF najiuliza hata kama ni sheria hio sheria haiangalii mazingira yanayopelekea kufanyika Kwa udanganyifu kwenye mtihani

Wakuu naomba ushauri wa kumsaidia huyu bwana mdogo kwani ni mwaka wa mwisho na alikuwa anategemewa na walezi wake ambao kiukweli Wana Hali mbaya kiuchumi

Sema tu ni wewe Ili usaidiwe..

anyway, Mimi ni lecturer hapo MUST na Ndie niliekukamata na simu.. umeona uje huku jeiefu ukidhani sipo? Hili suala nakuhakikishia ntalivalia njuga hadi ufukuzwe chuo
 
Ubinadamu ni upi ?
Aruhusiwe aingie na simu au ?
 
Sema tu ni wewe Ili usaidiwe..

anyway, Mimi ni lecturer hapo MUST na Ndie niliekukamata na simu.. umeona uje huku jeiefu ukidhani sipo? Hili suala nakuhakikishia ntalivalia njuga hadi ufukuzwe chuo
Nimeelezwa na huyo dogo yupo hapo MUST kama ni wewe kweli naomba umsaidie bwana mdogo.atakuwa amejifunza naamini hatorudia tena

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
 
Kwani mtu hawezi kuingia na simu akawa namtumia mtu wa nje maswali kisha akatumiwa majibu au kuandika majibu na kuyasave kwenye drafts upande wa sms?

Sheria ilishasema usiingie na simu wewe umeingia nayo ya nini?
Nadhan waliomtoa wameweza kama wewe mkuu
 
Nimeelezwa na huyo dogo yupo hapo MUST kama ni wewe kweli naomba umsaidie bwana mdogo.atakuwa amejifunza naamini hatorudia tena

Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Kwanini umekuja na conclusion kuwa huo siyo ubinadamu wakati unaowashutumu hawana ubinadamu wanasimamia Sheria za Nchi? Wakilegeza mnawaona wazembe, wala rushwa na majina mabaya chungu nzima ila wakienda kwa haki mnasema ubinadamu. Sheria ni msumeno,nawe usiwe unakuja na hukumu kwa watekelezaji sheria hata kama watu wana nia ya kukusaidia wanavunjwa moyo na kauli.
 
Wasomi wa vyuo vikuu bana... issue kama hizo huwa tuna imaliza huko huko chumba cha mtihani.. sema siku hizi madent sio hamble na mateacher nao manokoo kishenzi.. enzi zetu unakutwa na simu au kitini na yanaisha au teacher akiwa mnoko anachana booklete anakupa mupyaaa
 
Back
Top Bottom