Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,584
- 81,542
Ngoswe penzi kitovu cha uzembeKitabu kani ambacho siyo cha kutungwa!?
Ngoswe penzi kitovu cha uzembeKitabu kani ambacho siyo cha kutungwa!?
Sasa unaanza kuleta upumbavu Mzee.Ngoswe penzi kitovu cha uzembe
Hacha kuwa tisha watu na Mambo ya kitoto🚶Acha kuvuta Bangi chooni Kama kiranga, Biblia ni neno la Mungu,na siyo Riwaya, Kama huamini,chukua Biblia uikojoloe au uichome moto uone Kama utaamka kesho yake
Kumbe shetani aliwahi kuandika vitabu[emoji15]sitaki kuongelea kitabu hicho, kwasababu ninyi wakatoliki kuna vitabu vingi tu mmevikubali ambavyo shetani alileta ili kupotosha ukweli. ila kwa habari ya spy wa kike au wanawake hodari wa vita, hata Debora kwenye agano la kale alimuua adui wa israel. sio kitu cha ajabu hicho.
Don't underestimate the power of a woman,never ever....Salaam, katika Biblia ya kikatoliki, kuna kitabu cha Judith, huyu alikuwa msichana wa kiyahudi aliyejifanya kahaba ili anunuliwe na mfalme pinzani wa Israel, inasemekana aliponunuliwa akamkata kichwa mfalme akatoka nacho akiwa amekibeba juu juu, na vita ikaishia hapo(Israel ikapata ushindi).
Kina ukweli hiki? Mwanamke akate kichwa cha mtawala? Wajuzi njoeni
Aisee Kuna funzo hapa[emoji848]Hata kwenye kitabu cha Ruth, Ruthuu alifundishwa na mama mkwe wake Naomi kifanya ukahaba. Alienda kudanga kwa tajiri aitwae Boazi. Boazi alizimika kwa huyo mwanamke aitwae Ruthuu, mpaka akamuoa.
Ndie aliye mzaa Obeid baba yake Yese.
Yese alimzaa Daudi.
Utagundua kumbe ukoo wa akina Daudi umetokana na mwanamke wa Moabu ambaye alikuwa anadanga ili wapate chakula.
UDANGAJI ULIKUWEPO TANGU ZAMANI.
NA MUNGU HUPITISHA WATUMISHI WAKE KUPITIA UKOO WA WADANGAJI.
USIMCHEKE MWANAMKE KAHABA.
Je na wewe unauthibitisho gani kwamba avikutolewa?We ulijuaje kama vilitolewa ikiwa wewe haukuwepo kwenye hicho kikao kilichovihidhinisha hivyo vitabu au unatumia neno nilisikia na kusoma mahali?
Swali la kwanza sitokujibu maana kuna mwenzio nshamjibu swali sawa na lako.Je na wewe unauthibitisho gani kwamba avikutolewa?
Je kwanini Biblia ya kikatoliki inavitabu vingi tofauti na nyingine
Hapana, umetafsiri vibaya hilo andiko, kasome upya.!Mwanamke ana ujanja wa ajabu! Anaweza akakufanya kama zuzu na kukufanyia atakalo. Ishini nao kwa akili .
Ni wewe usitujumuishe wengine!Sis wanaume hatunaga ujanja kwa hawa wanawake sema tukiwepo vijiwen kwetu kila mtu ni mwamba kwa demu au mke wake.
Its too rare! Na ndio maana nauliza kama ni kweli au stories, rejea swali!Don't underestimate the power of a woman,never ever....
Usiorodheshe maana inajulikana walikuwepo baadhi katika maandiko walotumika kufikisha ujumbe fulani, mfano ni Rahabu aliyefanikisha kuangushwa kwa kuta za yeriko, mwingine ni yule aliyekuja kutubu kwa Yesu n.kSipendi mipasho. Hapa tunaongea kwa facts. Unataka nikuorodheshee wanawake waliokuwa kahaba kwenye bible.
Kama hujui bible kaa kimya.
Kama ww huamini.Biblia ni kitabu cha kutungwa tu kama riwaya nyingine. Japo kina mafundisho mengi mazuri (kila riwaya ina mafundisho) lakini usiamini story zake sio za kweli.
Hujui kusoma biblia mwanangu. Rudia kusoma kitabu cha Ruth tena na tena. Usijifanye mjuaji kumshinda Mungu mwenyewe.Usiorodheshe maana inajulikana walikuwepo baadhi katika maandiko walotumika kufikisha ujumbe fulani, mfano ni Rahabu aliyefanikisha kuangushwa kwa kuta za yeriko, mwingine ni yule aliyekuja kutubu kwa Yesu n.k
Kwanini nakukatalia kwenye kisa cha Ruthu unavyokielezea ni kana kwamba unamvisha mwanamke wa watu umalaya ambavyo si sahihi.
Ruthu alifiwa na mumewe huku akibaki kumlea mama mkwe ambaye naye ni mjane(ukiachilia mbali yeye ni mmoabu na yule ni mwisraeli angeweza hata kumtema) kutokana na kuangaika na ukata huku na huku kusurvive hatimaye habari njema inawaijia kuwa warudi Israeli maana njaa imeisha,
Akiwa katika plan zakurudi bethlehemu ndipo anafanikiwa kufika kwa tajiri boazi ambaye ni ndugu yake na marehemu mume wake na ruthu, hivyo baada ya boazi kujua kilichomtokea shemeji yake huyu na upendo mkubwa alomfanyia Naomi(mama mkwe wake)licha ya kutokuwa ndugu au mtu wa taifa lake anavutiwa kumsaidia.
Boazi anamruhusu mwanamke huyu kuvuna pamoja na vibarua wake shambani apate japo ngano apeleke mahome wakale. Ila anapofika mahome na kumweleza Naomi ndipo Naomi anapata idea kuwa kwanini asimshawishi ndugu yake huyu amwoe ruthu kurudisha fadhili.
Lakini katika hilo anamshauri Ruthu asijirahisishe kama kahaba bali aendelee kuwa na staha hata kama anamzimia mshikaji, tena awe anakwenda asubuhi shamba na kurudi kulala mahome.
Hivyo process ya kutongozana ilifanyika kwa romance ya muda fulani mpaka ikafikia siku moja demu akahamua kumpa gemu mshikaji ila jamaa akachomoa,(Ruthu 3:9) kumwonesha demu kuwa anamweshimu na hawezi mtumia kama kahaba bali atafuata taratibu zote za ndoa ndo amalize mchezo.(Ruthu 4:13-22)
Hivyo kutokana na upendo, uvumilivu na utiifu wake Mungu anamzawadia zawadi ya kuwa sehemu ya ukoo wa Daudi na baadaye Yesu. Kumbuka pia Ruthu aliacha miungu ya kwao na akaamua kumwabudu Mungu Yehova kwa uaminifu(Ruthu 2:12; Mithali 31:30) hivyo kwa mtazamo wangu mwanamke huyu mpambanaji na mcha Mungu sidhani kama alistahili hiyo sifa uliyombandika.
Wewe huna uhakika kama kanisa lako ni la kweli?Jamani nani amepewa kibari cha kuhukumu juu ya makanisa?acheni kunyoosheana vidore kuhusu kanisa la kweli Mungu pekee ndiye mwenye kujua kanisa la kweli wanadamu wote ni waovu na tunaishi kwa neema tu ya mwenyezi Mungu hivyo hakuna aliye mkamilifu!!!!!!!!!!
#kama kanisa lako ni la kweli toa chimbuko lake.
Halafu kwa kukuongezea. Soma kitabu cha mwazo 38 kwa umakini. Utagundua Tamari alijiuza ili aweze kumkamata Yuda. Kweli Yuda aliingia mtegoni akagonga vya kutosha mpaka Tamari alipata Mimba akaweza kumzaa Peresi na Zera. Hawa walikuwa mapacha.Usiorodheshe maana inajulikana walikuwepo baadhi katika maandiko walotumika kufikisha ujumbe fulani, mfano ni Rahabu aliyefanikisha kuangushwa kwa kuta za yeriko, mwingine ni yule aliyekuja kutubu kwa Yesu n.k
Kwanini nakukatalia kwenye kisa cha Ruthu unavyokielezea ni kana kwamba unamvisha mwanamke wa watu umalaya ambavyo si sahihi.
Ruthu alifiwa na mumewe huku akibaki kumlea mama mkwe ambaye naye ni mjane(ukiachilia mbali yeye ni mmoabu na yule ni mwisraeli angeweza hata kumtema) kutokana na kuangaika na ukata huku na huku kusurvive hatimaye habari njema inawaijia kuwa warudi Israeli maana njaa imeisha,
Akiwa katika plan zakurudi bethlehemu ndipo anafanikiwa kufika kwa tajiri boazi ambaye ni ndugu yake na marehemu mume wake na ruthu, hivyo baada ya boazi kujua kilichomtokea shemeji yake huyu na upendo mkubwa alomfanyia Naomi(mama mkwe wake)licha ya kutokuwa ndugu au mtu wa taifa lake anavutiwa kumsaidia.
Boazi anamruhusu mwanamke huyu kuvuna pamoja na vibarua wake shambani apate japo ngano apeleke mahome wakale. Ila anapofika mahome na kumweleza Naomi ndipo Naomi anapata idea kuwa kwanini asimshawishi ndugu yake huyu amwoe ruthu kurudisha fadhili.
Lakini katika hilo anamshauri Ruthu asijirahisishe kama kahaba bali aendelee kuwa na staha hata kama anamzimia mshikaji, tena awe anakwenda asubuhi shamba na kurudi kulala mahome.
Hivyo process ya kutongozana ilifanyika kwa romance ya muda fulani mpaka ikafikia siku moja demu akahamua kumpa gemu mshikaji ila jamaa akachomoa,(Ruthu 3:9) kumwonesha demu kuwa anamweshimu na hawezi mtumia kama kahaba bali atafuata taratibu zote za ndoa ndo amalize mchezo.(Ruthu 4:13-22)
Hivyo kutokana na upendo, uvumilivu na utiifu wake Mungu anamzawadia zawadi ya kuwa sehemu ya ukoo wa Daudi na baadaye Yesu. Kumbuka pia Ruthu aliacha miungu ya kwao na akaamua kumwabudu Mungu Yehova kwa uaminifu(Ruthu 2:12; Mithali 31:30) hivyo kwa mtazamo wangu mwanamke huyu mpambanaji na mcha Mungu sidhani kama alistahili hiyo sifa uliyombandika.
Makanisa yote kama linamtumikia Mungu wa mbinguni hilo liko sawa wewe ni nani ujuaye kanisa la kweli?Wewe huna uhakika kama kanisa lako ni la kweli?