Kumbe shetani aliwahi kuandika vitabu[emoji15]
Sikuwahi kulijua hili[emoji1]
Lakini ni vyema kabla hujaanza kunyooshea kidole kanisa katoliki, ni vizuri ukajifunza historia kidogo ya haya maandiko, machapisho yake na editions
Biblia inayotumiwa na wakatoliki ndio biblia ya kwanza kuwahi kutengenezwa na kutumiwa na wakristo wa makanisa yote ulimwenguni kabla ya hiyo yenu mnayoita tafsiri ya ulimwengu mpya
Jifunze, acha kukaririshwa kunyooshea vidole makanisa ya wenzako huku kanisa lako halina hata historia yoyote kwenye ukristo
Ni sahihi lakini lazima ujue wa-catholic wa mwanzo hawa kukubaliana kwa kila jambo na kila andiko
ndani ya u-catholic kulikuwa na makundi mengi sana ikiwemo gnostic wa-catholic hawa walipokuja kuungana
na warumi wakaanza kuwaua wapinzani wao ndani ya kanisa na nje ya kanisa.
Kunawatu walikuwa hawakubaliani na ucatholic ulivyo tafsir bible japo walikuwa wa-catholic
wapo waliodai haiwezekani Mungu wa agano jipya na lake akawa mmoja,
kwa sababu Mungu wa agano jipya ni wa upendo, msamaha tofauti kabsa na Mungu
wa agano lake.
Mpaka ikaenda kupelekea dark age kanisa linatawaliwa na mapapa wawili
kila mmoja anajitangaza yeye ni papa akishindwa kumtambua mwenzake.
Mtu kama Martin Luther ameeandika vitabu vingi sana kwenye u-catholic vinavyotumiwa mpaka
leo anakuja kutofautiana na kanisa papa alipotangaza kuwa mtu anapaswa kununua kitabu flani
ambacho kila muumini atakaye nunua atabarikiwa na Mungu na hela itayo patikana itaenda kufanya
ujenzi wa kanisa la vatican Martin akasema Mungu anatoa baraka bure hawezi kutoa baraka kwa fedha.
Hii ndio inapelekea Martin kutangazwa mzushi wa kanisa na kuondoka.
Hawa walioondoka kwenye ucatholic walikuwa wanaujua vizuri sana.