Huu ni ukweli? Kwa nini kimefichwa?

Huu ni ukweli? Kwa nini kimefichwa?

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
2,360
Reaction score
2,281
Salaam, katika Biblia ya kikatoliki, kuna kitabu cha Judith, huyu alikuwa msichana wa kiyahudi aliyejifanya kahaba ili anunuliwe na mfalme pinzani wa Israel, inasemekana aliponunuliwa akamkata kichwa mfalme akatoka nacho akiwa amekibeba juu juu, na vita ikaishia hapo(Israel ikapata ushindi).

Kina ukweli hiki? Mwanamke akate kichwa cha mtawala? Wajuzi njoeni
 
Hata kwenye kitabu cha Ruth, Ruthuu alifundishwa na mama mkwe wake Naomi kifanya ukahaba. Alienda kudanga kwa tajiri aitwae Boazi. Boazi alizimika kwa huyo mwanamke aitwae Ruthuu, mpaka akamuoa.

Ndie aliye mzaa Obeid baba yake Yese.
Yese alimzaa Daudi.
Utagundua kumbe ukoo wa akina Daudi umetokana na mwanamke wa Moabu ambaye alikuwa anadanga ili wapate chakula.

UDANGAJI ULIKUWEPO TANGU ZAMANI.
NA MUNGU HUPITISHA WATUMISHI WAKE KUPITIA UKOO WA WADANGAJI.

USIMCHEKE MWANAMKE KAHABA.
 
Acha kunena uongo maana imeandikwa Bwana hatamsamehe yeyote atakayegushi maandiko yake hivyo kuwa makini na unachokizungumza maana imani si siasa.
Hata kwenye kitabu cha Ruth, Ruthuu alifundishwa na mama mkwe wake Naomi kifanya ukahaba. Akienda kudanga kwa tajiri aitwae Boazi. Boazi akizimika kwa huyo mwanamke aitwae Ruthuu, mpaka akamuoa.

Ndie aliye mzaa Obeid baba yake Yese.
Yese alimzaa Daudi.
Utagundua kumbe ukoo wa akina Daudi umetokana na mwanamke wa Moabu ambaye akikuwa anadanga ili wapate chakula.

UDANGAJI ULIKUWEPO TANGU ZAMANI.
NA MUNGU HUPITISHA WATUMISHI WAKE KUPITIA UKOO WA WADANGAJI.

USIMCHEKE MWANAMKE KAHABA.
 
Salaam, katika Biblia ya kikatoliki, kuna kitabu cha Judith, huyu alikuwa msichana wa kiyahudi aliyejifanya kahaba ili anunuliwe na mfalme pinzani wa Israel, inasemekana aliponunuliwa akamkata kichwa mfalme akatoka nacho akiwa amekibeba juu juu, na vita ikaishia hapo(Israel ikapata ushindi).

Kina ukweli hiki? Mwanamke akate kichwa cha mtawala? Wajuzi njoeni
Nyuzi zingine aisee! Kwahyo mwanamke hana mikono na akili mpaka utuletee hilo hapa tukujibu?
 
Una uthibitisho ganu usiohalalisha madai yangu?
Ikiwa wote hatuna evidence kwann usifunge kinywa chako ili hilo suala liendelee kubaki kama lilivyo mpaka uthibitisho upatikane ndo uje uropoke kana kwamba unauhakika nalo.
 
Salaam, katika Biblia ya kikatoliki, kuna kitabu cha Judith, huyu alikuwa msichana wa kiyahudi aliyejifanya kahaba ili anunuliwe na mfalme pinzani wa Israel, inasemekana aliponunuliwa akamkata kichwa mfalme akatoka nacho akiwa amekibeba juu juu, na vita ikaishia hapo(Israel ikapata ushindi).

Kina ukweli hiki? Mwanamke akate kichwa cha mtawala? Wajuzi njoeni
sitaki kuongelea kitabu hicho, kwasababu ninyi wakatoliki kuna vitabu vingi tu mmevikubali ambavyo shetani alileta ili kupotosha ukweli. ila kwa habari ya spy wa kike au wanawake hodari wa vita, hata Debora kwenye agano la kale alimuua adui wa israel. sio kitu cha ajabu hicho.
 
Biblia ni kitabu cha kutungwa tu kama riwaya nyingine. Japo kina mafundisho mengi mazuri (kila riwaya ina mafundisho) lakini usiamini story zake sio za kweli.
Acha kuvuta Bangi chooni Kama kiranga, Biblia ni neno la Mungu,na siyo Riwaya, Kama huamini,chukua Biblia uikojoloe au uichome moto uone Kama utaamka kesho yake
 
Back
Top Bottom