Hivi ni kweli Judith alimkata kichwa yule jamaa?

Hivi ni kweli Judith alimkata kichwa yule jamaa?

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
2,360
Reaction score
2,281
Salaam, katika Biblia ya kikatoliki, kuna kitabu cha Judith, huyu alikuwa msichana wa kiyahudi aliyejifanya kahaba ili anunuliwe na mfalme pinzani wa Israel, inasemekana aliponunuliwa akamkata kichwa mfalme akatoka nacho akiwa amekibeba juu juu, na vita ikaishia hapo(Israel ikapata ushindi).

Kina ukweli hiki? Mwanamke akate kichwa cha mtawala? Wajuzi njoeni!
 
Hivi unaichukuliaje mbususu? [emoji38][emoji38]
Mbususu ina Nguvu
Mbususu ilimkalisha Samson
Mbususu ilimfanya Daudi aue kamanda wake
Mbususu ilimfanya Mfalme aagize Haman anyongwe
Mbususu ilimfanya Mugabe atake kuhonga hatimiliki ya nchi.

Mbususu ni tabu tupu
But still doesnt matter.! Dont be fooled
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom