Huu ni ukweli? Kwa nini kimefichwa?

Huu ni ukweli? Kwa nini kimefichwa?

Kumbe yudithi mwenyewe alikuwa mjane, halafu huyo aliyeuawa si mfalme ni general, hii inaonesha yudithi alikuwa kachoka tayari, sema huyo jamaa alipitiwa na ulevi tu, pombe mbaya!

Yudithi 10:19
Wakaustaajabu uzuri wake na kuwa staajabia wana wa israel kwa ajili yake, wakasemezana kila mtu na jilani yake nani awezaye kuwadharau watu hawa, madhali miongoni mwao mna mwanamke mzuri kama huyu!

Haifai waachwe hata mtu mmoja maana wakiachwa wataweza kuushawishi ulimwengu wote

Mkuu nazani paka hapo utakuwa umeelewa judith alikuwa ni mwanamke mzuri hasa
 
Sawa, ila nimeona michoro yake![emoji3][emoji3][emoji3] narudia! Pombe mbaya!
 
Swali la kwanza sitokujibu maana kuna mwenzio nshamjibu swali sawa na lako.
Kati ya katoliki na hao wengine au hizo versions nyingine unahisi nani katooa maandiko toka kwa mwenzake?
Mwenye vichache katoa kwa yule mwenye vingi!
 
Back
Top Bottom