Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

HI
Unajua sometimes wanadamu hatusemi nini kile ambacho ndicho tunajaribu ficha tukitafakari ukweli ni nini, mimi huwa nawapenda wote kama ndugu zangu, marafiki, majamaa, wazazi, walimu na n.k, huwa kuna watu wanasema reality huwa anapenda.

Kuwakashifu, kuwatukana, kuwaponda, kuwadhihaki, kuwaudhi, kuwasema, kuwakejeli wanawake no i louve all of you , evenly salt miss neddy mtani wangu miss chagga i love you all is just a media we socialize we dont mess take it easy ,it means mnapenda umalaya? au nyie malaya its not i just hate it na for sure hatujengi , lets build then kuna madogo wanaingia humu ndani wanacopy, ubongo unakua unabuild some facts, tuwe real.
Mfano Heaven Sent Huna jipya ww
 
Mfano Heaven Sent very smart namkubali yeye because anajaribu kuweka mfumo sawa, miss chagga my best actress napenda style yake.

Don't take things so serious people are acting, tujenge jamii katika maadili tuthamini utu its more than a score.

Ninayempenda sana sana JF ni yule ambaye hatoruhusu upotoshaji bali kuunga hoja za kujenga.

I LOVE YOU ALL

Mi nampendaa...nampendaaa...eeeeh subiri kwanza REALITY nitarudi kukwambia.
 
Last edited by a moderator:
brodah! ................huyu atakuwa kwenye ile heaven ya yule mfalme wa anga na malkia wa mbingu. Ile mbingu ya watakatifu kwake ataiona kwa mbaliii sana.......

kwasababu Mungu ni wa kuheshimiwa sana barazan pa wenye mizaha.

mm nakupenda sana ww < gfsonwin >,bt hadi leo sina sijui kama ww ni me au ke!.
 
Hv huu upendo anaouzngumuzia mleta uzi ni kwa ajiri ya ke au yyte.coz mm huyu gfsonwin nampenda sana ila sijui kama ni ke au me.
 
mm nakupenda sana ww < gfsonwin >,bt hadi leo sina sijui kama ww ni me au ke!.
mimi ni mke na mama wa watoto 4. last born ana miez 4 na siku 17 leo hii.
Hv huu upendo anaouzngumuzia mleta uzi ni kwa ajiri ya ke au yyte.coz mm huyu gfsonwin nampenda sana ila sijui kama ni ke au me.
anazungumzia upendo kwa watu wote.
asante sana kwa kunipenda
 
ninaowafahamu wote nawakubali,wengine napenda avatar zao tu
 
1from my own jf always makes me happy,na nadhan ndo kisehem kinachonipunguziaga tu.mb twangu kwa wingi ninatopata kwenye extremes hz za mitandao. Apa MMU namkubali lara1;huyo mtu bana comment zake ni full raha,napendaga anavochanganyia na kizungu vilevile kujiamin kwake
 
Mimi sipendi mtu asiye na faida kwangu marekani style win win wing....!
 
Mimi nawapenda wadau wote wa JF, kwa vile bila wao jamvi halikamiliki. Kila mdau ana fani yake, na ndio kwa pamoja changamoto hupatikana.

Huwezi kuijua shibe kama hakuna njaa, wivu kama hakuna penzi, chuki kama hakuna upendo, ujinga kama hakuna maarifa, nk. Hii ndio JF, kwa pamoja tunakamilisha jamvi!
 
Back
Top Bottom