Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Mkuu The Gate of Heaven upo upande gani mwa Heaven? Kushoto (Njia pana) au Kule Mkono wa Kuume kwenye ile njia nyembamba?

brodah! ................huyu atakuwa kwenye ile heaven ya yule mfalme wa anga na malkia wa mbingu. Ile mbingu ya watakatifu kwake ataiona kwa mbaliii sana.......

kwasababu Mungu ni wa kuheshimiwa sana barazan pa wenye mizaha.
 
REALITY na[penda kwamba unawapenda wengine ingawa mimi hunipendi lol!!
barikiwa kwa upendo wako kwa wengine
 
Last edited by a moderator:
REALITY na[penda kwamba unawapenda wengine ingawa mimi hunipendi lol!!
barikiwa kwa upendo wako kwa wengine

gfsonwin i love you all pal too i dont gain anything from hate dude,anyway chukua ua la upendo if you like it
 
Last edited by a moderator:
mi sina nnaemchukia wala kumjengea beef mtu
hunijui sikujui nianze kukuchukia km ndgu yangu je?
 
Back
Top Bottom