Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Aisee kiongozi huyu Viol naona amejichoka mbona ana vamia vamia makazi ya watu bila ruhusa? charty ebu njoo hapa uweke wazi niliposafiri ulizini na mtu?au huyu jamaa anajikomba tu...ebu mkanye Rich Pol kamkuta anajisifu mbele za watu eti anakung'ata akaniita mpe live baby huyu kijana!!!

Du! Yamekuwa ya kujisifia tena? Makubwa!!!!
 
Last edited by a moderator:
Aisee kiongozi huyu Viol naona amejichoka mbona ana vamia vamia makazi ya watu bila ruhusa? charty ebu njoo hapa uweke wazi niliposafiri ulizini na mtu?au huyu jamaa anajikomba tu...ebu mkanye Rich Pol kamkuta anajisifu mbele za watu eti anakung'ata akaniita mpe live baby huyu kijana!!!

Hakuna aliyegusa kabsaa ni wewe tu...!viol sikia hii
 
Last edited by a moderator:
Dude! u r not real. What's the point you trippin there!mbona haujatusiwa wee walipuka? You surely have multiple @#%*/#, why you r so fragile? You sound like somebody if you ask me!!

achana naye mkuu, utoto tu unamsumbua, akiacha kuomba allowance kutoka kwa mama yake na kujitegemea ataacha, huwa naweka kwenye ignore list kupunguza takataka.
 
Hata mimi nampenda sana lara 1. lara 1 popote pale ulipo, know that I appreciate you so much.
 
Last edited by a moderator:
yaaani huu uzi wote, nimekosa wa kunipenda! ngoja nimtafute shyrose!
 
HI
Unajua sometimes wanadamu hatusemi nini kile ambacho ndicho tunajaribu ficha tukitafakari ukweli ni nini, mimi huwa nawapenda wote kama ndugu zangu, marafiki, majamaa, wazazi, walimu na n.k, huwa kuna watu wanasema reality huwa anapenda.

Kuwakashifu, kuwatukana, kuwaponda, kuwadhihaki, kuwaudhi, kuwasema, kuwakejeli wanawake no i love you all of you , evenly salt miss neddy mtani wangu miss chagga i love you all is just a media we socialize we dont mess take it easy ,it means mnapenda umalaya? au nyie malaya its not i just hate it na for sure hatujengi.

Lets build then kuna madogo wanaingia humu ndani wanacopy, ubongo unakua unabuild some facts, tuwe real.

Mfano Heaven Sent very smart namkubali yeye because anajaribu kuweka mfumo sawa, miss chagga my best actress napenda style yake.

Don't take things so serious people are acting, tujenge jamii katika maadili tuthamini utu its more than a score.


Ninayempenda sana sana JF ni yule ambaye hatoruhusu upotoshaji bali kuunga hoja za kujenga.

I LOVE YOU ALL

Honestly I can't pick because I realize you all are so important to me and I just want to say I love you all in here MMU and I do appreciate For your knowledge , smartness, humbleness , love and caring , many kisses to you all . Thanks!
 
Ngoja mi niwe real,kwanza lots of LOOOVEE to Meizon!
 
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom