unafaaa kuwa FBI au CIA
kaazi kwelikweli, matusi yote hayo ya nini? haya nenda kasome kijana, na uombe upate pesa, wadada wa siku hizi hawapatwi kwa kusifiwa na kujipendekeza, wanapatikana kwa pesa, ushauri wangu wa bure tu kwako "nigger" usije kuwatia aibu wazazi wanaokulipia ada!
kuna watu wanaboa bana ila hivyo hivyo tunasonga one love,halafu nawewe kwa kuvamiaga hujambo
hizo zingine blah blah tu...teh, bila mawe hata ukienda kuwasalimu nduguzo mapokezi ni hafifu!Hahahaaaa uwii umeongea jambo la msingi na la mbolea
hizo zingine blah blah tu...teh, bila mawe hata ukienda kuwasalimu nduguzo mapokezi ni hafifu!
hizo zingine blah blah tu...teh, bila mawe hata ukienda kuwasalimu nduguzo mapokezi ni hafifu!
usijali, mtoto wa kichaga, weekend hii ntakwambia nipo wapi kwa salama sinza au maeneo ya kuleee chini. na hivi ntakuwa nimetoka bush utanitembeze mjini dasalama.nipo hapa Kijana leo mshahara bado nakuhitaji this weekend
usijali, mtoto wa kichaga, weekend hii ntakwambia nipo wapi kwa salama sinza au maeneo ya kuleee chini. na hivi ntakuwa nimetoka bush utanitembeze mjini dasalama.
Sanaaaaa yupo poa mnoo sio mchawiii
nitakuloga nitakuloga wewe cheza na mimi hunijui
Kumbe bado limbwata lipo? Hili ni balaa linamfuata mtu!
sasa wewe nakupiga ya dushe
nitakutembeza mjini hadi vijiji vya dasalama lazima uwe unatumia konyagi sina hela ya kukupa bia labda kama unakunywa bia mbli tu