Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

We nuksi.
Ondoa mahubiri hapa.

Hapa watu wanafagilia.
We unatuletea mahubiri.
Mchango hupati hapa! Na hakuna anaekupenda.
Kafe mbele.

show love is not the wright place for this
 
wacha tuoneshe upendo, mie haswa nafsi yangu yampenda Miss Neddy, coments zake za upole, charming lady kutokana na sauti yake anaweza nisaidia tukivamiwa, sidhani kama kapata dawa, miss chagga upendo wake wa msimu kama ligi kutokana na pesa, ila haswa nafsi yangu imekufa kwa yule Manka aisee.

nakukubali Kijana leo ngoja nikusaidie kuwaita miss chagga MankaM charming lady
 
Last edited by a moderator:
HI
Unajua sometimes wanadamu hatusemi nini kile ambacho ndicho tunajaribu ficha tukitafakari ukweli ni nini, mimi huwa nawapenda wote kama ndugu zangu, marafiki, majamaa, wazazi, walimu na n.k, huwa kuna watu wanasema reality huwa anapenda.

Kuwakashifu, kuwatukana, kuwaponda, kuwadhihaki, kuwaudhi, kuwasema, kuwakejeli wanawake no i louve all of you , evenly salt miss neddy mtani wangu miss chagga i love you all is just a media we socialize we dont mess take it easy ,it means mnapenda umalaya? au nyie malaya its not i just hate it na for sure hatujengi , lets build then kuna madogo wanaingia humu ndani wanacopy, ubongo unakua unabuild some facts, tuwe real.
Mfano Heaven Sent very smart namkubali yeye because anajaribu kuweka mfumo sawa, miss chagga my best actress napenda style yake.

Don't take things so serious people are acting, tujenge jamii katika maadili tuthamini utu its more than a score.


Ninayempenda sana sana JF ni yule ambaye hatoruhusu upotoshaji bali kuunga hoja za kujenga.

I LOVE YOU ALL
unatafuta sympathy ya wakina mama?
 
Ongea kiswahili bwana hiyo lugha ya malkia mi naijulia wapi
I prefer English the same language in your signature "A clear rejection is always better than a fake promise."
 
Back
Top Bottom