Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Mie nawapenda wadogo zangu kuliko wewe sezae...

Hahahaaaaa nilijua tu lazima unikatae na wewe! Lkn mmmmmmh hapo so sawa mimi nafikiri wampenda sn nkwela wangu kuliko sisi ndugu zako!

Mzima lkn dada yangu? Upo jamani?
 
Hahahaaaaa nilijua tu lazima unikatae na wewe! Lkn mmmmmmh hapo so sawa mimi nafikiri wampenda sn nkwela wangu kuliko sisi ndugu zako!

Mzima lkn dada yangu? Upo jamani?
Mie mzima....nkwela wako nampenda sana...ila wadogo zangu nawapenda mnoo
Hata mie nawapenda sana dada zangu kuliko kaka yangu maana hachelewi kutugeuka.......lol
Huyu nshamuona...anaweza kutukana kabisaa...kisa nkewe
Dada zangu nyie mna mambo sn!

Mie nawapenda sn woooote! Ila ndoa yangu na Khantwe msiingilie mtuache!

Sie walaaaa....hatujihusishi na ndoa yako
 
Last edited by a moderator:
Mie mzima....nkwela wako nampenda sana...ila wadogo zangu nawapenda mnoo

Huyu nshamuona...anaweza kutukana kabisaa...kisa nkewe


Sie walaaaa....hatujihusishi na ndoa yako



Hahahaa dada yangu hujui kua mke hawezi kuvunja udugu wetu? Ndoa inaweza kuvunjika lkn so udugu wetu!


Yani mkimsema vibaya tu Khantwe wangu mnakua mmenigusa kwenye moyo!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Hahahaaa mbona wewe unautoa wote kwa mura hautubakishii na sisi ndugu zako?



Hapo sasa sijui nijibuje??? Ayayayayayayaya! Nawapenda wote sawa sawa, nampenda Khantwe sawa na nyie dada zangu!
Honey Faith miss u my dada so much!

hahahahaha mimi hata nikiutoa wote ukoo wangu ni huu wa mura wewe lazima ubakishe maana unategemewa
lol
 
Last edited by a moderator:
Many thanks gfsonwin!!! This is for you this morning.... Its my favourite song indeed, be it your prayer too!!.


sisemi sana as najua hapa sio mahala pa mzaha..................
imeandikw aufalme wa mbingu utatekwa na wenye nguvu, sasa sio nguvu ya mwili, kifedha, kicheo, etc ila ni nguvu ya utakatifu. na utakatifu huo Mungu huupima kwa kuangalia moyo wa mtu, manake yeye hatizami kama sisi bijnadamu tutizamavyo. Mwanadamu hutizama matunda na kusema huyu ana kitu fulan na huyu ana kitu fulan lakn Mungu huangalia Moyo na kusema huyu anafaa na huyu hafai...
 
Last edited by a moderator:
wacha tuoneshe upendo, mie haswa nafsi yangu yampenda Miss Neddy, coments zake za upole, charming lady kutokana na sauti yake anaweza nisaidia tukivamiwa, sidhani kama kapata dawa, miss chagga upendo wake wa msimu kama ligi kutokana na pesa, ila haswa nafsi yangu imekufa kwa yule Manka aisee.
 
Back
Top Bottom