Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Hahahaaaaaa... Nisiongeze neno Dadangu.

Wanatania eti kwenye hilo geti kuna waenda kwa miguu, pikipiki, Rolls royce, Lamborghine hadi private jets kulingana na mtu alivyomtumikia malaika wa nuru .......Same DESTINATION but in different modes n types of transport. Mara unasikia hilo jet limemleta OSAMA chubwiii motoni... hilo benzi apo limemleta Kibwetere.. naye chubwiii!!!! Hio BOXER 200 ndio kaja nayo sijui nani nani Kimario!!!!! hahahahaaaa ... Niko barazani mwa mzaha (Am joking anyway!!!)
sisemi sana as najua hapa sio mahala pa mzaha..................
imeandikw aufalme wa mbingu utatekwa na wenye nguvu, sasa sio nguvu ya mwili, kifedha, kicheo, etc ila ni nguvu ya utakatifu. na utakatifu huo Mungu huupima kwa kuangalia moyo wa mtu, manake yeye hatizami kama sisi bijnadamu tutizamavyo. Mwanadamu hutizama matunda na kusema huyu ana kitu fulan na huyu ana kitu fulan lakn Mungu huangalia Moyo na kusema huyu anafaa na huyu hafai...
 
Back
Top Bottom