Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Huu ndo ukweli unampenda nani MMU

Hahahahahah ngoja ni mpe la karne Junior. Cux pokea busu mwaaaaaaaaaaaaaaaaaahh.....!mpige busu moja la mdomo mbona atafunguka[/QUOTE]
 
Last edited by a moderator:
Ngoja ajeee mi hua ananichekesha tu wala hata hua sichukii maneno yakee wanaochukia huwapa pole aiseee

Ukichukia maneno ya yule mtu utapata kiharusi hakyanani....Dina kwani we mkristo?
 
Mie nampenda mtu mmoja hivi anaitwa rogie sijui yuko wapi siku hizi?My dia Khantwe hebu nisaidie kumtafuta
 
Last edited by a moderator:
[B said:
Ninayempenda sana sana JF ni yule ambaye hatoruhusu upotoshaji bali kuunga hoja za kujenga.

[/B]Umenena kweli mkuu maana humu hata vitoto vinatupia jicho tusije kuwakatisha tamaa ya maisha kwa mzaha,ama kwa vile mtu yeye alisha kata tamaa anaokomalia uongo uonekane ni ukweli hili halikubaliki.

halafu

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4

We HHHK njoo useme unampenda nan MMU...
 
Last edited by a moderator:
Hata mm nakupenda REALITY ukorof wako tu jukwaan aisee
 
Last edited by a moderator:
[B said:
Ninayempenda sana sana JF ni yule ambaye hatoruhusu upotoshaji bali kuunga hoja za kujenga.

[/B]Umenena kweli mkuu maana humu hata vitoto vinatupia jicho tusije kuwakatisha tamaa ya maisha kwa mzaha,ama kwa vile mtu yeye alisha kata tamaa anaokomalia uongo uonekane ni ukweli hili halikubaliki.

halafu

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.Waebrania 13:4

mkuu nakubali sana point yako
i appreciate
 
Back
Top Bottom