Huu mti unaitwaje kwa kiswahili?

Huu mti unaitwaje kwa kiswahili?

Nyonyo ndo mbarika? Au ni vitu viwili Tofauti?

Mbarika kwa kiingereza ni castor au sio?
Wengine huuita mbarika na wengine huuita mnyonyo ni mti huo huo mmoja........Mkuu farkhina naona sasa unahamia kwenye mambo ya Natural remedy.....
 
Unaitwa mnyonyo, kwa kichaga unaitwa iwonu au mawonu kwa wingi.
Huu mmea ni dawa alafu ni sumu kali sana.
Mbegu zake ni risasi za kichawi.......... Msiniulize zinatumikaje tafadhali!
 
Unaishi ulaya mjini ama kijijini mkuu farkhina ,kuna mtu tunabishana nae hapa kwamba ikiwa ni mjini mnyonyo ungeutoa wapi!
 
Last edited by a moderator:
je yale mafuta yanauzwa dukan yanaitwa castor oil ukinywa utaharisha pia??

Yah, yaani hayo ndo wanatumia sana wenye matatizo ya kufunga choo. Ila yanataka moyo kuyanywa. Na kama kunywa sana sana basi labda kijiko kimoja cha chai. Reaction yake haifiki hata nusu saa.
 
Back
Top Bottom