Mlimao huu una ugonjwa gani? Msaada tafadhali

Mlimao huu una ugonjwa gani? Msaada tafadhali

muta ngegi

Senior Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
193
Reaction score
164
Salaam wanajamii forum!

Nilipanda mti huu wa mlimao(Tazameni Pichani),lakini tangu nimeupanda haukui sana na upo katika hali hii(Pichani).

Wataalam naombeni kujua shida yake ni nini?
 

Attachments

  • IMG_20260831_084212_035.jpg
    IMG_20260831_084212_035.jpg
    951.7 KB · Views: 4
Mkuu wakati tukiwasubiri wataalam waje nikuulize yafuatayo, umeupanda mwaka gani? Unaupa huduma zipi? Mche umewahi kukumbwa majanga kama moto nk? maana kwa kuangalia haraka haraka naona mlimao uliokosa matunzo.
 
Back
Top Bottom