Mnyonyo
Naomba kwa anaefaham huu mti unaitwaje kwa kiswahili aniambie..
View attachment 252429View attachment 252430
Ni Mnyonyo, dawa nzuri sana ya kukandia sehemu zenye maumivu
Huku bongo unaweza kuwa mrefu kama mhogo mpira/mihogo inayotumika kwa kisamvu
Mnyonyo
Nyinyi ndo mbarika? Au ni vitu viwili Tofauti?
Mbarika kwa kiingereza ni castor au sio?
huu mti unaitwa m-breast, ustaadhat!!!
eeh sema kila eneo lina jina lake linaouita...
Nadhani ni mnyonyo, sisi tulikuwa tukiuita P za paka.