Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 3,080
- 7,166
Kipindi huu MTI unapandwa tuliweka nguvu sana kuhakikisha una kua salama, tulimwaga maji mengi sana kadiri ya uwezo na ilikua ni kawaida yetu. Sikua na muda nao sana nikiendelea na ratiba zangu za kila siku.
Siku Moja nikiwa naingia ndani, nilipata mshituko, Kuna jambo nililishuhudia, la haula, huu MTI ULIKUA unabadilika rangi, nilijiuliza sana, sikupata jibu nikahisi labda huenda ni hali ya kawaida, kweli nikapiga chini, sababu wanao fahamu hii miti ya madafu hua ina kauka na kudondosha tawi.
Lakini kadri siku zilivo enda hali ikawa ngumu, japo tunamwagilia lakini ina kauka tu kila uchwao baadae ndio tukatambua kweli mti huu unaenda kupoteza uhai, maana hata ile ambayo tuliipanda kwenye makopo tayari ilikua dry yote hakuna uliosalimika na maji imekunywa ya kutosha hivo ilikua swala la muda na huu kufuatia.
Kipindi hicho ungenambia niukate niutupe Wala nisinge kataa nilikua disappointed sana, maisha yakaendelea.
Sasa siku za mbeleni tukiwa tumekataa tamaa, lakini tukimwagia maji Bora liende ndo kuona ukaanza chipua tena, mpaka kufika hii hali unayoona kwenye PICHA japo haipendezi sababu ni ukungu wa mvua.
FUNZO nililo pata, tusikatie vitu tamaa tupambane Hadi pale unapo ona no life again lakini at time unapumua mapambano yaendelee, huenda Kuna watu au vitu tulivitoa kwenye maisha yetu ingali tunge vumilia Leo hii tunge kua tuna vuna matunda.