Huu mti unaitwaje kwa kiswahili?

Huu mti unaitwaje kwa kiswahili?

mkuu kule kagera hurefuka zaidi na kuwa miti mikubwa ambayo hutumika kuusapoti mgomba usiangushwe na ndizi kabla ya kukomaa. mikia haraka sana na kurefuka mbegu zake hiliwa na njiwa pili, pia watoto huzitumia kama rublicants kwenye baiskeli zao za miti.

Naam,nimetumia sana mbegu unatoa ganda la juu ukisaga yanakuwa mafuta kama vile karanga zilizosiginwa,hivyo hutumika kama kilainishi ktk mzunguko wa matairi
 
mkuu kule kagera hurefuka zaidi na kuwa miti mikubwa ambayo hutumika kuusapoti mgomba usiangushwe na ndizi kabla ya kukomaa. mikia haraka sana na kurefuka mbegu zake hiliwa na njiwa pili, pia watoto huzitumia kama rublicants kwenye baiskeli zao za miti.
mkuu niliwahi ishi ngara huko baiskeli za miti tunaita vibogobogo, unaponda mbegu zake na kupaka kwenye maungio ya vibogobogo.
 
Back
Top Bottom