Huu mti unaitwaje kwa kiswahili?

Sio nimehamia ndio napendelea sana natural remedy

sawa.
Huo ni mnyonyo au mbarika kwa kisambaa a.k.a kimeru a.k.a kichaga cha ulaya,unaitwa castor oil ni dawa ya kublock . . . . . . . . . Lakn ni hatari sana,usijaribu.
 
Sisi ndo tunavouita. Mtunda au mwarobaini. Kwa hio farkhina nadhani kutumia kiunguja hapo

Tatizo la farkhina ni kunitafutia mimi visa. Huyu dada toka anifundishe kupika vikalmati vyake basi katokea tu kunichukia. Yaani nikisema kitu yeye lazima atanipinga tu. Sawa mimi mnyonge tu daima na hizo kalmati zake sizipiki tena.
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha jamani unanisingizia sikuchukuii bhana
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom