Huu mti unaitwaje kwa kiswahili?

...kwa Mwanza tunautambua kama Mkalekale
Hutumika kama dawa hasa kwa kukanda mtu anapo teguka maungio

Mbona ni tofauti na huu, wenyewe una majini madogo kulinganisha na hayo,pia kijani yake haija koza
 
Una nini kwani? Sisi kwetu tunaita imono yaani hizo mbegu zake. Mti wake tunauita ELIVONO. Moja ya kazi yake ni kupaka mafuta yake wakati wa kulima ili mikono isiharibike na ni dawa ya uzazi wa mpango. Pia huwa tunatumia kama mafuta ya kujipakaa pale tukosapo ya dukani.
 
Mafuta yake ni Mazuri kwa hair growth.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom