HUSNINYO NA MWENZIE SWEETLADY,wamekuja mjini wanajidai masista duuuu!..

Bagah eeeeh, umetisha na huu uzi.. Kumbe mambo ya kujipodoa na salun yapo tangu enzi bana! Daah..
 
majungu camp iyo...wasipofanya ivyo hawaishi...wazoee tu bi/bw....sorry niko kwenye uchunguzi!
Hahahaha! Huna imani na bi nyakomba? Ingia mzima mzima unyonywe damu lol. Eti ooh nimepata sweetheart anaitwa binyakomba!
 
Bagah eeeeh, umetisha na huu uzi.. Kumbe mambo ya kujipodoa na salun yapo tangu enzi bana! Daah..

SI Unit ulikua jela nini??
sijakutia machoni kitambo aisee...au na wewe uligeuka mzee wa chabo?
nimeifuma picha ya shemeji zangu enzi zao!..nomaaa!
 
Hahahaha! Huna imani na bi nyakomba? Ingia mzima mzima unyonywe damu lol. Eti ooh nimepata sweetheart anaitwa binyakomba!

nadhani huyu bi dada atakua bado anafanana na nyie mlipokua watoto...eti madai yake yuko natural!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom