HUSNINYO NA MWENZIE SWEETLADY,wamekuja mjini wanajidai masista duuuu!..

Umejuaje?
Dogo na wewe mmbea sana aisee...
Mambo ya ndani kwa watu tena ya ndoa unayapekenyua yanakuhusu nini?

braza usiku mwema...muda huu Amyner anaimbishwa huko kwenye simu...ww unang'aa sharubu huku...we sijui ulishauriwa na nan kuoa...inaonekana bado HUNTER kabsaa!..
 
calm down braza...naweza kukueleza...tusipoangalia hawa wake zako wanaweza kutukosanisha...wale sio ndugu zako...mm ndio ndugu yako unajua!..

Unajua kuuanika utamu wa Mh. Judge na Mh. Nitty hadharani in fronti of pipo ! Ni kubeep The Hague ?
 
asee jitahidi usiku huu afurahi!..kwa namna yoyote ile...najua braza anapenda sana!chakula cha usiku

We BAGAH mchawi nini ?
Ni kweli mie ni kilafi hass'aa wa 9it menu !
Sasa umejuaje ? Mambo ya ungo au?
 
Teh ila hata nyinyi mmependeza sana....
Nataka tuzitoe picha za Mke na Mume....
Mfano:Husny na Judgement....
Nitty na SweetLady
Rejao na Cantalisia.....
Upotoroto na Kabakabana
Bagah na Bi Nyakomba.....
Na wengineo wakiwa kwenye pozi la kimahaba

Ww shem unataka kufanya mambo gan!mie na mme wangu tayari ni maarufu wala hatutaki promo tena ebo!!weka ya kwako na Amy!
 
anajua...wala usininong'oneze...mwanamke gani sauti nzito...anaeza kuimba sauti ya nne church...au labda amebarikiwa kwenye sekta zingine...huwezi jua..LOL
Hahahahahah! Sauti ya nne???...lol, hata mimi sikushauri mwaya!
 
Teh ila hata nyinyi mmependeza sana....
Nataka tuzitoe picha za Mke na Mume....
Mfano:Husny na Judgement....
Nitty na SweetLady
Rejao na Cantalisia.....
Upotoroto na Kabakabana
Bagah na Bi Nyakomba.....
Na wengineo wakiwa kwenye pozi la kimahaba
Ole wako ujaribu, labda kama umechoka kuishi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom