HUSNINYO NA MWENZIE SWEETLADY,wamekuja mjini wanajidai masista duuuu!..

Muda huu nimesitisha kuangalia match ya Baca Vs Milan , nawasiliana na vijana wangu wa wizarani, ili pakikucha wawe wameshatuma e-mail The Hague kwa minajili, ya kwamba by Thursday sumons ya BAGAH kuitwa The Hague iwe imekamilika, nje ya hapo BAGAH uniombe radhi within 24 hrs ahead.
Vinginevyo upoteaji wa picha hiyo ulihusisha pia kupotea kwa some other valuable items , siwezi vitaja au kuviongelea coz kesi ya kuvihusu iko Mahakamani .

calm down braza...naweza kukueleza...tusipoangalia hawa wake zako wanaweza kutukosanisha...wale sio ndugu zako...mm ndio ndugu yako unajua!..
 
Mnene zaidi ndie husni,...sie ni maswahiba tangu utotoni ati..


umemwona mkimbiza mwenge alivyo mchokozi eeh? Amekuja kwenye jiji la watu katoroka na picha lol.
Hahahaaa bado yangu na Bagah inakuja.....
 
majungu camp iyo...wasipofanya ivyo hawaishi...wazoee tu bi/bw....sorry niko kwenye uchunguzi!
Dogo kati ya Bwa/Bi vs Wewe Bagah nani wa kuzoeleka kwa majungu?
Kwanza ulisema wazi kuwa humtaki tena Bi Nyakomba kuwa eti ni changa la macho....Lol
Sema sasa nayeye asikie
 
nyie sio mafotojeniki..
Teh ila hata nyinyi mmependeza sana....
Nataka tuzitoe picha za Mke na Mume....
Mfano:Husny na Judgement....
Nitty na SweetLady
Rejao na Cantalisia.....
Upotoroto na Kabakabana
Bagah na Bi Nyakomba.....
Na wengineo wakiwa kwenye pozi la kimahaba
 
Teh ila hata nyinyi mmependeza sana....
Nataka tuzitoe picha za Mke na Mume....
Mfano:Husny na Judgement....
Nitty na SweetLady
Rejao na Cantalisia.....
Upotoroto na Kabakabana
Bagah na Bi Nyakomba.....
Na wengineo wakiwa kwenye pozi la kimahaba

mi na mme wangu hatupendi mauzo. Kwenye nafasi yetu jiweke wewe na amy.
 
Teh ila hata nyinyi mmependeza sana....
Nataka tuzitoe picha za Mke na Mume....
Mfano:Husny na Judgement....
Nitty na SweetLady
Rejao na Cantalisia.....
Upotoroto na Kabakabana
Bagah na Bi Nyakomba.....
Na wengineo wakiwa kwenye pozi la kimahaba

aloo ivi bi nyakomba ndio nimeshasusiwa kiukwelii?...
 
Dogo kati ya Bwa/Bi vs Wewe Bagah nani wa kuzoeleka kwa majungu?
Kwanza ulisema wazi kuwa humtaki tena Bi Nyakomba kuwa eti ni changa la macho....Lol
Sema sasa nayeye asikie

anajua...wala usininong'oneze...mwanamke gani sauti nzito...anaeza kuimba sauti ya nne church...au labda amebarikiwa kwenye sekta zingine...huwezi jua..LOL
 
asee jitahidi usiku huu afurahi!..kwa namna yoyote ile...najua braza anapenda sana!chakula cha usiku
Umejuaje?
Dogo na wewe mmbea sana aisee...
Mambo ya ndani kwa watu tena ya ndoa unayapekenyua yanakuhusu nini?
 
anajua...wala usininong'oneze...mwanamke gani sauti nzito...anaeza kuimba sauti ya nne church...au labda amebarikiwa kwenye sekta zingine...huwezi jua..LOL
Hahahaaaa aisee hii kashfa kubwa sana kwa Bi Nyakomba.....
Ngoja aje atueleze ukweli aisee.....
Tukusaidie kukutafutia dogo mwenzio?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom