HUSNINYO NA MWENZIE SWEETLADY,wamekuja mjini wanajidai masista duuuu!..

inategemea na ww ulivyo...he might be even stronger kwa sababu yuko na mchovu...LOL
Tobaaaa! Shemu umenichoka walah tena, mie mchovu hahahaha! Umetudhalilisha mimi na kakako na akikukamata utajuta.!
 
waache kujidai...akati enzi zao ndo kama ivyo...kila kitu wazi...weusiii...afu saa hizi wanajiona wazuungu...na nywele za kuunga na supagluu!...niliiokota hii pic kwa braza angu Jg!

Muda huu nimesitisha kuangalia match ya Baca Vs Milan , nawasiliana na vijana wangu wa wizarani, ili pakikucha wawe wameshatuma e-mail The Hague kwa minajili, ya kwamba by Thursday sumons ya BAGAH kuitwa The Hague iwe imekamilika, nje ya hapo BAGAH uniombe radhi within 24 hrs ahead.
Vinginevyo upoteaji wa picha hiyo ulihusisha pia kupotea kwa some other valuable items , siwezi vitaja au kuviongelea coz kesi ya kuvihusu iko Mahakamani .
 
baby unamuona bagah....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom