HUSNINYO NA MWENZIE SWEETLADY,wamekuja mjini wanajidai masista duuuu!..

yaani nimefungua thread kwa mbwembwe zote ikiwemo kwenda kwenye profile kwanza nione umuhimu wa hao jf alafu picha ndo hii. Leo umenifurahisha .
 
Jaman asa c ungewatafuta private na ukamalizana nao!ukiokota yangu tafadhali tumalizane bila kuletana huku lol!

shem wewe bado nakuheshimu...labda unitibue kama hawa wawili...ntakuanika mana najua pakuipata picha yako!
 
yaani nimefungua thread kwa mbwembwe zote ikiwemo kwenda kwenye profile kwanza nione umuhimu wao jf alafu picha ndo hii. Leo umenifurahisha .

pole...nimekubeba mzima mzima...boh kama ningekua ni vampire ningeshanyonya kisusio asee!..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom