Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,127
- 28,806
AiseeAliyeniwahi mpaka akaanzisha na uzi 😄
AiseeAliyeniwahi mpaka akaanzisha na uzi 😄
Safii tu 🤣Tunakufuatilia
Yeah unajikuta tuNi kweli mtoa mada kuna vitu hutokea,huwezi kuvizuia e,g kupenda.
Hapa mkuu naomba kutofautiana na wewe,wema na ubaya upo ndani ya nafsi zetuWema na ubaya ni mitazamo tu. Kimsingi kabisa hakuna jema wala baya, kila kiumbe kinapambania uhai wake.
😅😅😅 nicheke kwanza et hakuna wema na ubayaWema na ubaya ni mitazamo tu. Kimsingi kabisa hakuna jema wala baya, kila kiumbe kinapambania uhai wake.
Sijui hata unaongelea nini hapa mkuu issu ni kua hakuna uhalali wa kuumiza mwingine ili wewe ufurahiAngalia suala la tamaduni. Kuna tamaduni ambazo watoto wa kike kuolewa ni sawa. Labda tamaduni hizo zinapendelea uzao mwingi hivyo wanawake huolewa mapema ili wazae zaidi.
Hisia, matamanio, maarifa na hali tunazopitia vinatufanya tuwe jinsi tulivyo.
😀😀😀Umekula nini leo una vibe kalii🙌🏼
Mbona vitisho tena 😅🙌🏼We cheka tu, tutakupoteza🤣🤣
T
welcome baki,ishi kimastaMbona vitisho tena 😅🙌🏼
Kama ni hivyo basi kula hii😀😀😀
Vibe kali kwa sababu umerudi in da House 🏠 🔥
Haya leo ni mwendo wa masong tu
Welcome back mtoa mada
View: https://youtu.be/c6SScUh8AwQ?si=32SWHY2zjFOKyF1F
Sawaa mkuu 🔥🙏welcome baki,ishi kimasta
Software hiyo ni dira yako ya kimaadili ama dhamira yako. Hii inatokana na malezi kuanzia ulipokuwa mdogo kabisa mpaka unapojitambua.Hapa mkuu naomba kutofautiana na wewe,wema na ubaya upo ndani ya nafsi zetu
Ni kitu ambacho kipo kana kwamba tumezaliwa nacho,hata kama dini zisingekuwepo na kutuambia hili zuri tufanye na hili baya tusifanye,bado ndani ya nafsi zetu kuna soft ware ambayo inatuambia hili ninalo fanya ni sahihi au sio sahihi
Ndio maana huwa tunajisikia wakosaji tukimkosea mtu,nafsi zetu wenyewe zinatuambia kwamba hapa hatuja tenda haki
Hii inatokana na kua hatuna uvumilivu wa kucheza na hisia zetu.Una mke au Dem wako anaprovide kila kitu na ana tako zuri tu ila utaona Dem ana tako kama la mkeo ila Kuna kitu tu unasema sijui huyu atakua na ladha tofauti thus it!Mandingo hebu njoo utetee hoja yako 😅😅
Hiyo nechaaa ya usaliti imekaaje fafanua
Na kwanini iwe kwenu tu wanaume?
Say yeeeeeeeeee! Nice to hear that ,karibu sanaI'm back 🔥🔥🔥🔥
Ma song ya motoooo
Halafu ngoma zote ni vitu vyangu kabisa 🔥🔥🔥🔥
Mkuu hivi unajua mnajiendekeza tu nyie?Hii inatokana na kua hatuna uvumilivu wa kucheza na hisia zetu.Una mke au Dem wako anaprovide kila kitu na ana tako zuri tu ila utaona Dem ana tako kama la mkeo ila Kuna kitu tu unasema sijui huyu atakua na ladha tofauti thus it!View attachment 3684795