Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

wadau biharamulo iko mkoa mpya wa chato zamani ililikuwa mkoani kagera majira ni yakawaida sio ya africa ya kati naomba kuweka kumbukumbu sawa,asanteni mwenye updates za hukumu aendelee kutujuza

Hapana. Bado iko Kagera. Iliyohamia Mkoa wa Geita (siyo Chato) ni wilaya ya Chato.
 
Mimi nimeamua kulala ofisini maana nyumbani sina net au nibebe desktop wakuu? Nihurumieni, leta taarifa niondoke haraka.

Ni pm namba yako nitakupigia nikufahamishe, naendelea kukesha.
 
wadau biharamulo iko mkoa mpya wa chato zamani ililikuwa mkoani kagera majira ni yakawaida sio ya africa ya kati naomba kuweka kumbukumbu sawa,asanteni mwenye updates za hukumu aendelee kutujuza

Unauliza au unapotosha??
Threads zipo nyingi humu JF, hii achana nayo!!

Wilaya ya Chato ipo mkoa mpya wa Geita.
Mkoa wa Kagera = Bukoba, Muleba, Karagwe, Ngara, Kyerwa (mpya) na Biharamulo
 
na Misenyi
 
Mleta thred kafa au simu imeisha chaji au kanyanganya na polic wa ccm au vocha zimemuhishia
 
Unauliza au unapotosha??
Threads zipo nyingi humu JF, hii achana nayo!!

Wilaya ya Chato ipo mkoa mpya wa Geita.
Mkoa wa Kagera = Bukoba, Muleba, Karagwe, Ngara, Kyerwa (mpya) na Biharamulo

Umesahau Missenyi na Bukoba vijijini.
 
wadau biharamulo iko mkoa mpya wa chato zamani ililikuwa mkoani kagera majira ni yakawaida sio ya africa ya kati naomba kuweka kumbukumbu sawa,asanteni mwenye updates za hukumu aendelee kutujuza

Don't comment unless u are well informed. Mkuu wala hakuna mkoa wa CHATO kamanda. Biharamulo haiko mkoa huo na haijawahi kuwa mkoa mwingine zaidi ya KAGERA tangu Yesu apae kwenda Mbinguni. Chato iko mkoa mpya wa Geita na zamani ilikuwa tarafa ndani ya wilaya ya Biharamulo. Na lilikuwa jimbo mwaka 1995 lilipotajwa kuwa JIMBO LA BIHARAMULO MASHARIKI. Ni kujaribu kurekebishana ili kuweka kumbukumbu sawa.

UPDATES: Hukumu bado inasomwa na nimepata taarifa hii kutoka kwa jamaa angu ambaye yuko ndani ya mahakama, alitoka tu kunijuza na amerudi, simu kazima tena na anasema jamaa anasoma hukumu taratibu sana na anapangua baadhi ya hoja!!!!!!

Mtajuzwa tu wakuu!!!!!
 
wadau biharamulo iko mkoa mpya wa chato zamani ililikuwa mkoani kagera majira ni yakawaida sio ya africa ya kati naomba kuweka kumbukumbu sawa,asanteni mwenye updates za hukumu aendelee kutujuza

Acha uongo wewe! Kwanza Chato sio mkoa na Bmlo iko mkoa wa Kagera. Sababu za matokeo kuchelewa itakuwa nh magamba kushindwa
 
Back
Top Bottom