Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Aiseee kumbe Biharamulo mbali sana na Tanganyika!

Ngoja nikale nisije pata ulcers bure!
 
batani niliyobonyeza mara nyingi zaidi ya nyingine ni refresh
 
Sasa ni saa mbili na nusu usiku yaani bado hawajatoa hukumu? Afrika ya Kati ni saa moja unusu usiku na UK muda huu ni saa kumi na mbili unusu jioni; jamanihawa Biharamulo wanafuata saa za wapi?

Siku nyingine kutuliza presha mtupe na muda (saa) kulingana na maeneo mbalimbali ya nchi hii.

labda Wanatumia latitude za kichina
 
Jamani Songea tunaraha maana soon uchaguzi utafanyika Sumbawanga lakini hukumu ya Biharamulo itaikamilisha furaha yetu.
 
Ivi kumbe kuna wilaya hakuna hata mmoja wa JF.arusha jf humu 2po 2173.
 
wadau biharamulo iko mkoa mpya wa chato zamani ililikuwa mkoani kagera majira ni yakawaida sio ya africa ya kati naomba kuweka kumbukumbu sawa,asanteni mwenye updates za hukumu aendelee kutujuza
 
Mimi nimeamua kulala ofisini maana nyumbani sina net au nibebe desktop wakuu? Nihurumieni, leta taarifa niondoke haraka.
 
Back
Top Bottom