Ubungo si salama kabisa. Kama kuna mahali ambapo pananipa hofu kubwa basi ni huko ubungo. Maana kuna ushahidi wa wazi kwamba kura zipo tofauti na idadi ya wapiga kura. Na bila kujali kama kosa ni la mnyika au wajumlishaji, kitakachoangaliwa ni kwamba matokeo ni batili. Kwa hiyo huko hakuna kufurukuta.Mkuu hao wamepigwa 4-1 mpaka sasa. Tuanze na Ilemela, Singida, Sumbawanga, Bihalamuro. Tutarajie tena Ubungo na Segerea. Hapo itakiwa 6-1.
Ubungo si salama kabisa. Kama kuna mahali ambapo pananipa hofu kubwa basi ni huko ubungo. Maana kuna ushahidi wa wazi kwamba kura zipo tofauti na idadi ya wapiga kura. Na bila kujali kama kosa ni la mnyika au wajumlishaji, kitakachoangaliwa ni kwamba matokeo ni batili. Kwa hiyo huko hakuna kufurukuta.
wadau biharamulo iko mkoa mpya wa chato zamani ililikuwa mkoani kagera majira ni yakawaida sio ya africa ya kati naomba kuweka kumbukumbu sawa,asanteni mwenye updates za hukumu aendelee kutujuza
Ubungo si salama kabisa. Kama kuna mahali ambapo pananipa hofu kubwa basi ni huko ubungo. Maana kuna ushahidi wa wazi kwamba kura zipo tofauti na idadi ya wapiga kura. Na bila kujali kama kosa ni la mnyika au wajumlishaji, kitakachoangaliwa ni kwamba matokeo ni batili. Kwa hiyo huko hakuna kufurukuta.
Mkuu msingi wa kesi ya Ubungo ni kura 14,000. ambazo hata akipewa zote huyo wa CCM hawezi kumshinda John na kumbuka kuwa hizi kura ni lazima kufuata ratio maalum kwa wagombea woteUbungo si salama kabisa. Kama kuna mahali ambapo pananipa hofu kubwa basi ni huko ubungo. Maana kuna ushahidi wa wazi kwamba kura zipo tofauti na idadi ya wapiga kura. Na bila kujali kama kosa ni la mnyika au wajumlishaji, kitakachoangaliwa ni kwamba matokeo ni batili. Kwa hiyo huko hakuna kufurukuta.
Ubungo si salama kabisa. Kama kuna mahali ambapo pananipa hofu kubwa basi ni huko ubungo. Maana kuna ushahidi wa wazi kwamba kura zipo tofauti na idadi ya wapiga kura. Na bila kujali kama kosa ni la mnyika au wajumlishaji, kitakachoangaliwa ni kwamba matokeo ni batili. Kwa hiyo huko hakuna kufurukuta
wacha tungoje!!