Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
hii si thread si ya kutegemea
tupeni updates bana, mambo ya chato na biharamulo ziko wapi baadaye.
hii si thread si ya kutegemea
Don't comment unless u are well informed. Mkuu wala hakuna mkoa wa CHATO kamanda. Biharamulo haiko mkoa huo na haijawahi kuwa mkoa mwingine zaidi ya KAGERA tangu Yesu apae kwenda Mbinguni. Chato iko mkoa mpya wa Geita na zamani ilikuwa tarafa ndani ya wilaya ya Biharamulo. Na lilikuwa jimbo mwaka 1995 lilipotajwa kuwa JIMBO LA BIHARAMULO MASHARIKI. Ni kujaribu kurekebishana ili kuweka kumbukumbu sawa.
UPDATES: Hukumu bado inasomwa na nimepata taarifa hii kutoka kwa jamaa angu ambaye yuko ndani ya mahakama, alitoka tu kunijuza na amerudi, simu kazima tena na anasema jamaa anasoma hukumu taratibu sana na anapangua baadhi ya hoja!!!!!!
Mtajuzwa tu wakuu!!!!!
latitude ina uhusiano gani na mda?
wewe hujagonga sec math book 3?
Unauliza au unapotosha??
Threads zipo nyingi humu JF, hii achana nayo!!
Wilaya ya Chato ipo mkoa mpya wa Geita.
Mkoa wa Kagera = Bukoba, Muleba, Karagwe, Ngara, Kyerwa (mpya) na Biharamulo
Confirmed CDM Tumeshinda! Peoplez powerr!
acha kuwapa watu pressureConfirmed CDM Tumeshinda! Peoplez powerr!
Umesahau Missenyi na Bukoba vijijini.
Watatumia mapangaMola msaidie Mbunge huyu ashinde kesi, lakini hata akishindwa kwa mtaji walionao CDM ninauhakika CCM hawaiwezi CDM.
sema longitude mjomba.