Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Hukumu ya Kesi ya Uchaguzi Biharamulo

Jamani poleni kwa kuwaweka roho juu, maana nilikua nimepoteza mawasiliano na jamaa yangu, lakini habari za uhakika ni Kwamba Magamba wamegaragazwa tena mpaka sasa ni 3-1... Singida Mash, Biharamula na Sumbawanga
 
Haya muongee na watoto wenu,sikilizeni kero zao na muwaonyesha upendo coz full time mko na laptop hata msosi mmesusa,darby la leo tamu,mbili bila hadi sasa,kesho mapumziko keshokuwa segerea kama kawa!
 
Kesi ya Biharamuro
mashariki dhidi ya mbunge
wetu dr Mbasa tumeshinda. HECHE.

Magamba wamekalia tena mdudu.
 
Back
Top Bottom