Ng'wanangwa
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 10,827
- 4,183
naona jamaa wanataka kutuharibia manchester derby...!
huko matokeo yanajulikana.
subili ya biharamulo
naona jamaa wanataka kutuharibia manchester derby...!
Usomaji wa hukumu bado unaendelea, Hoja nne kati ya nane zimepigwa chini, bado nne...............

50-50
kuna hoja ngapi kwani?
Jamani mbona mnakuwa matomaso! hamuamini kama mbasa kavuliwa ubunge?
Kama ndivyo, kuna unafuu hapo. Maana nijuavyo zile hoja nzito hutangulia mwanzo.

gamba wewe!