FortJeasus
JF-Expert Member
- Jan 19, 2012
- 604
- 405
Mungu alituwezesha kushinda uchaguzi mwaka 2010.Tumeshinda kesi leo kwa nguvu za Mungu.
Jamani poleni kwa kuwaweka roho juu, maana nilikua nimepoteza mawasiliano na jamaa yangu, lakini habari za uhakika ni Kwamba Magamba wamegaragazwa tena mpaka sasa ni 3-1... Singida Mash, Biharamula na Sumbawanga
we acha tu...mwaka huu magamba watakula 'ndizi' mpaka wahare...!Kesi ya Biharamuro
mashariki dhidi ya mbunge
wetu dr Mbasa tumeshinda. HECHE.
Magamba wamekalia tena mdudu.
Ni sehemu gani uliona chama kimetuma wawakilishi kwa ajili ya hizo kesi za uchaguzi?
hapa bado manu kupigwa bao za kutosha siku ikamilike...ccm oyeeeeeeeeeeeeee....wapi ritz na misukule wengine?
Kesi ya Biharamuro
mashariki dhidi ya mbunge
wetu dr Mbasa tumeshinda. HECHE.
Magamba wamekalia tena mdudu.
Jamani poleni kwa kuwaweka roho juu, maana nilikua nimepoteza mawasiliano na jamaa yangu, lakini habari za uhakika ni Kwamba Magamba wamegaragazwa tena mpaka sasa ni 3-1... Singida Mash, Biharamula na Sumbawanga
Narudia tena CDM imeshinda pigeni simu hapa 0763633134
ha haa haaaa
mpatie huyu jamaa moja baridi moja moto haraka sana
Kuna nyingine ya Meatu ya Meshack Opurukwa.mpka sasa 3-1! bado segerea na ubungo sasa
we acha tu...mwaka huu magamba watakula 'ndizi' mpaka wahare...!