Uzima Tele
JF-Expert Member
- Jan 20, 2023
- 1,149
- 2,466
- Thread starter
- #41
We don't know exactly what kind of bondage was he in...Mkuu una maanisha could alikuwa under detention au house arrest, baada ya kuona kelele inaanza kuongezeka wakaona itakuwa kesi, wakamtoa kwa masharti na maelekezo maalam????
But Why under detention/arrest????
However, vyovyote mtu anavyoweza kufikiri na kusema yaweza kuwa sahihi...
Si kwa makusudi kabisa wameamua kutudanganya wenyewe huku wakitambua kuwa wanatunganya?
Mambo hayako sawa huko serikalini. Kuna watu pengine wanatakiwa watoweshwe kwa njia ileile aliyotoweshwa jiwe...