Huenda Vice President Dkt. Phillip Mpango alikuwa kwenye shambulizi la hatari, akafichwa mahali. Hii ndio maana ya "Alikuwa kwenye kazi maalumu"

Upepo Ule wa kijana haukua mzuri, Hadi KM kujiuzilu, yaezakuwa palikuwa na vitu vinaendelea tusovijua.

Mungu ni MWEMA kwakweli.
Wanamlinda na kumficha shetani makwapani mwao huku wakiwazomea na kuwasuta watu wema (wananchi) wanaompenda Vice president wao.

Ni bahati mbaya tu kuwa hata VP mwenyewe hauoni upendo huyu wa watu wake. Katekwa akili na shetani, kaingia maxima.

Shauri lake
 
Ni kwa sababu, haiingii akili hata chembe kwa yeyote mwenye akili timamu kuamini sababu ya kupotea kwa VP siku zaidi 30 bila taarifa yoyote rasmi ya serikali kule aliko na anafanya nini.

Baada ya muda, eti serikali inajitokeza na kudai kuwa VP alikuwa mahali fulani (hapatajwi) na alikuwa kwenye kilichopewa jina la "kazi maalumu" isiyotajwa.

La kujiuliza ni hili kuwa, hivi, ni kazi gani maalumu yenye maslahi kwa nchi hii isiyo na jina aliyokwenda kufanya VP kwa siku 30..?

Kinachofanya tujiulize swali hili ni wajihi na mwonekano wa VP baada ya kujitokeza. Anaonekana ni mtu mnyonge sana. Ni mtu mwenye mawazo mengi (troubled person). Ni kama vile kweli alikuwa anaumwa na labda alikuwa anapata matibabu sehemu.

Lakini kama alikuwa anaumwa na alikuwa anapata matibabu sehemu fulani hapahapa nchini au nje ya nchi, iweje taarifa za kuumwa kwake ziwe siri?

Kwanini haisemwi alikuwa anaumwa badala yake tunaambiwa alikuwa kwenye kazi maalumu? Kunafichwa nini?

Kuumwa mtu (kiongozi VP akiwemo) hakuwezi kufichika jamani. Ambacho si lazima kijulikane ni ugonjwa anaoumwa mtu. Hili linaweza kufichwa na haina shida yoyote...

Kuna hisia kali zinazoweza kuthibitika muda si mrefu kuwa lipo tatizo huko serikalini. Kuna Kila viashiria kuwa huyu mtu alikuwa hatarini na aidha alifichwa au alijificha mahali mwenyewe (Kwa ruhusa ya deep state) ili kujiokoa..!

Lakini kwanini kiongozi mkuu wa level ya VP awe hatarini? Kuna nini ndani ya serikali hii?

Wakati utasema tu, TUSUBIRI.
Mkuu una maanisha could alikuwa under detention au house arrest, baada ya kuona kelele inaanza kuongezeka wakaona itakuwa kesi, wakamtoa kwa masharti na maelekezo maalam????

But Why under detention/arrest????
 
Mkuu sio kilakitu unapaswa kujua.

KUNA MAMBO INABIDI UYAPUUZE TU NA SIO KULALAMIKA KAMA UMEKOSEWA NA MTU.

KAMA UNAMPENDA VICE PRESIDENT BASI SHUKURU KUWA NI MZIMA, HAYO MENGINE ACHANA NAYO MKUU.

PRIVACY YA MTU IHESHIMIWE.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Mkuu hapana, kiongozi yeyote wa umma ni gazeti sio barua ya mapenzi!
 
Ni kwa sababu, haiingii akili hata chembe kwa yeyote mwenye akili timamu kuamini sababu ya kupotea kwa VP siku zaidi 30 bila taarifa yoyote rasmi ya serikali kule aliko na anafanya nini.

Baada ya muda, eti serikali inajitokeza na kudai kuwa VP alikuwa mahali fulani (hapatajwi) na alikuwa kwenye kilichopewa jina la "kazi maalumu" isiyotajwa.

La kujiuliza ni hili kuwa, hivi, ni kazi gani maalumu yenye maslahi kwa nchi hii isiyo na jina aliyokwenda kufanya VP kwa siku 30..?

Kinachofanya tujiulize swali hili ni wajihi na mwonekano wa VP baada ya kujitokeza. Anaonekana ni mtu mnyonge sana. Ni mtu mwenye mawazo mengi (troubled person). Ni kama vile kweli alikuwa anaumwa na labda alikuwa anapata matibabu sehemu.

Lakini kama alikuwa anaumwa na alikuwa anapata matibabu sehemu fulani hapahapa nchini au nje ya nchi, iweje taarifa za kuumwa kwake ziwe siri?

Kwanini haisemwi alikuwa anaumwa badala yake tunaambiwa alikuwa kwenye kazi maalumu? Kunafichwa nini?

Kuumwa mtu (kiongozi VP akiwemo) hakuwezi kufichika jamani. Ambacho si lazima kijulikane ni ugonjwa anaoumwa mtu. Hili linaweza kufichwa na haina shida yoyote...

Kuna hisia kali zinazoweza kuthibitika muda si mrefu kuwa lipo tatizo huko serikalini. Kuna Kila viashiria kuwa huyu mtu alikuwa hatarini na aidha alifichwa au alijificha mahali mwenyewe (Kwa ruhusa ya deep state) ili kujiokoa..!

Lakini kwanini kiongozi mkuu wa level ya VP awe hatarini? Kuna nini ndani ya serikali hii?

Wakati utasema tu, TUSUBIRI.
Labda alikuwa kwenye matibabu ya operesheni ya Tezi Dube...
 
Tezi dune wala siyo aibu au fedheha. Alitakiwa aseme tu. After all mfano ulishakuwa set na mzee wa Msoga Jakaya Kikwete alisemaga wazi kuwa jamaani eeh, naumwa tezi dune na nimefanyiwa operesheni huko Marekani.
 
Back
Top Bottom