China hajagoma negotiations fuatilia vizuri,kipindi wanafanya negotiations USA wakaweka tena tariffs sasa hapa kisaikolojia niku mzingua mwenzakoKuhusu hilo hakuna wa kulaumiwa, deficit ipo na sasa partiner mmoja anataka marekebisho ili iwepo balance, ajabu huyu mmoja anataka kugoma waendelee hivyo hivyo ili deficit iendelee kuwepo azidi kunyonya. Hapo ndo lawama zinaanza
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani ni sawa me napigana vitu na wewe halafu tukiwa kwenye negotiations table huku nje ninasikia ulipua nyumba yangu hapo unafikiri negotiations itaendelea?
Na hata bwana mdogo kim ndio maana kashindwa kufikia muafaka na trump kwa sababu kama hizo hamuwezi mkawa mnafanya negotiations halafu huku unasikia south korea and USA military drills zinaendelea kwenye korean peninsula au mara sanctions mpya zimewekwa hivi punde hivi unadhani negotiations zitaendelea vizuri labda kama uwe una negotiate na malawi au burundi ila sio nchi kama china wanaelewa sana psychological warfare
Sent using Jamii Forums mobile app