Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

sasa mbona wewe maneno mengi yanakutoka USA wakitaka kufanya wanachokifanya kwa China? kwani ni lazima China wawe USA,waende na wao kwingine sio lazima USA,hapo vipi?
Hapo sawa tu na huawei walisema haita enda kwenye nchi ambazo hawata karibishwa.

Shida ya usa wana pressure wengine nao wamuunge mkono kuigomea huawei kwa interest zake

Jana wametoa statement kwamba India isinunue mafuta kutoka Venezuela na nchi nyingine nazo zifuate hivyo yani USA akikataza kitu kwa interest zake anataka kila mtu afanye hivyo au Venezuela naye ana nuclear kama iran nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani na China ni vitu viwili tofauti kabisa.

China wana sheria inayotaka kampuni zao na hata zile za nje zinazotoa huduma ndani ya China kuisaidia au kutoa taarifa za udukuzi kwa serikali wakati kwa Marekani ni tofauti,kampuni ina Uhuru wa kutoa au kutotoa msaada kwa serikali. Nadhani unakumbuka lile saga la Apple vs FBI

Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka sheria za kila nchi zifanane?

Kila nchi ina tamaduni na sheria zao sio lazima siigwe zile za marekani

Ukikamatwa na madawa ya kulevya china unayongwa ila hapa Tanzania unaweza enda jela miaka tatu je utasema sheria ya china sio nzuri?

Hapo jirani zetu kenya mirungi ni kitu cha kawaida ila hapa Tanzania ukikutwa nayo mingi unaweza fungwa maisha kabisa

Kila nchi na tamaduni na sheria zake kwa maslahi yake na raia wake

Kuna nchi ukikinga maji ya mvua tu kazi unayo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Deficit kubwa ya china na USA ni bidhaa za USA wenyewe sasa nini kilichowafanya wapeleke viwanda vyao wenyewe in first place je makampuni ya marekani yaliona kuna nini kwao mpaka yakakimbia maana ni kampuni nyingi mno mpaka za nguo kama boxer shida hapa ilikua ni nini

Kulikua na regulations gani mpaka USA ikapeleka viwanda uchina na leo wanaona kama ni mwiba kwao?

Maana usa wana deficit kubwa karibia na nchi kubwa zote duniani na kama sikosei USA ndio nchi yenye deficit trade kubwa kuliko nchi zote duniani na miaka ya zamani haikua hivyo je walikosea wapi

Na tatizo lingine linakuja ndio nchi yenye deni kubwa to GDP ratio

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unashindwa kuelewa kitu kidogo tu kwamba utawala uliopo sasa ni mwingine! Mfano mkataba wa nyuklia wa iran uko katika hali gan baada ya utawala wa sasa wa US?! Hata Yohana wetu hapa na utawala wake mpya anasema tulichezewa mno! Kwa hiyo kila utawala na sera zake ili mladi katiba haivunjwi

Basi tusiilaumu China na Xi jinping wake na ndio maana wamempa urais mpaka afe ile silk road imempa credit na big brother USA hataki hata kuisikia kabisa

Naona kila anayetaka kuingia anamzingua tu ile ni project ya kuunganisha barabara,reli na meli dunia nzima kama silk road ya zamani je itakua vipi ni national threat kwa Italy kama sio ni wivu wa influence wa marekani kwa China

Hii project kama itakamilika itanya uchumi wa china uende mbali sana labda hofu ya USA iwe hapo na je hataki nchi zingine ziwe na uchumi mzuri?

US advises Italy to steer clear of China’s new Silk Road… because it’s a National Security issue? US advises Italy to steer clear of China’s new Silk Road… because it’s a National Security issue?

Hatuilaumu china bali tunasema baada janja yake kushtukiwa na utawala wa trump akubali tu kusawazisha mambo, make akiwekeana msuli na US atalambishwa mchanga make hana huo msuli. Na huku afrika mamlaka zikianza kuzingatia ubora wa bidhaa zinazoingia nchini bas mchina itakuwa chali kifo cha mende. Make kwenye wizi wa teknolojia US anamzibiti vizuri na anakula nae sahani moja

Ubora wa bidhaa kutoka china na kutokana na kipato chetu,unafikiri china hakuna bidhaa zenye ubora?

Umewahi kukutana na bidhaa zilizotoka china zikiwa Europe?

Kila sehemu ukipeleka bidhaa kuna standard zake mkuu.

Wakulaumiwa ni USA kwa sababu wao ndio walisainia mkataba na china kuhusu transfer technology na yote unayoyaona hapo,walivyokua wanapeleka kampuni zao kule walipewa hayo masharti ili wafanye kazi China je hawakufikiria hilo impact zake baadae na nini kilichowasukuma kuingia japo mikataba waliona haipo sawa au walishikiwa mtutu wa bunduki

Kipindi cha ukoloni USA ilikua inawapa masharti nchi za ulaya iziachie nchi za africa(open door policy) kwa masharti ya wawo kuwapa mikopo nchi za ulaya ila kiundani USA alikua anataka awe na influence huku africa naye achote vya kwake na baadae ulaya wakajiona wazembe sana

Miaka ya nyuma ulaya walivyokua wanajenga viwanda kule marekani na kuleta bidhaa ulaya na africa na asia waliiba sana technology ya watu wa Europe baadae wakatunga sheria ili kuwageuka watu wa Europe na usa ikaanza kusimama kwa hiyo historia inajirudia kinachofanyika china sasa hivi kilifanywa na USA miaka mingi na dunia ni mzunguko mkuu

China,USA watapita na yatakuja kuibuka mataifa mengine zaidi kuwa makubwa hata kama ikiwa ni miaka 300 ijayo.

Kwan unafikiri ulaya nzima wana kipato kiasi kwamba hawatavutika kununua bidhaa zenye ubora wa chini kutoka china iwapo zingeruhusiwa?! wao wanajali ubora kwanza make mwisho wa siku cheap is expensive ndo maana mamlaka wakazuia kabisa zile takataka.

Mamlaka zinafanya kazi, huwezi kuta takataka kule. Wanapeleka vitu vya maana tu. Na siku mamlaka zetu zikiamka ni pigo kwa china. Mkuu pressure plate ya clutch wiki mbili tu ishatepeta gia ngumu kama jiwe kweli hii ni haki?! Jamaa wanatia sana hasara.

Unaonekana ni mtu wa lawama sana, hakuna wa kulaumiwa hapa. Hoja ni hatua zinazochukuliwa sasa china akileta msuli atapasuka.

Sub standard products haziendi Europe mkuu na Europe ni moja wa trading partner mkubwa sana wa China.

Unadhani china na europe wanafanya biashara gani?

China ana export europe zaidi kuliko europe anavyo export na currently europe ina trade decifit with china japo overall europe ina balance of payments nzuri sababu inapeleka bidhaa nchi zingine

kwa hiyo unataka kufananisha kipato cha wananchi wa europe na huku kwetu africa haujui kwamba europe ina shika nafasi ya pili kwa kua na nguvu kubwa ya manunuzi ukiacha uchina?

sasa niambie hizo bidhaa zilizopelekwa europe na USA ni fake na sijawahi sikia hilo ni huku tu kwetu tunaletewa hizo bidhaa sababu ya uloho wa wafanya biashara wetu pamoja na kua na vipato vidogo mno

Na pigo vile vile kwetu na tutasababisha inflation kwa kuletewa bidhaa za bei ghali hatutaweza kumudu

Na watabadilika na kuleta bidhaa zenye ubora je tutaweza kununua?

Bidhaa muhimu zitapotea kabisa madukani je tutaweza kuhimili hilo?

Uzuri wa china wapo flexible tukitaka bidhaa bora tutaletewa kama zinazoenda USA na europe na tukitaka taka taka tutaletewa vile vile

Chukulia tu mfano wa pikipiki kama sanlg au haojue je tutaweza kuwa na mbadala na hizo tukanunua zile BMW au harley Davison?

kama umefika Europe umewahi kuona sanlg au haojue?hata china tu kuzikuta barabarani ni ishu hii kitu kinaitwa market segmentations

Tunatumia haojue kutokana uwezo wetu kwa kifedha.

Wafanya biashara waroho wapo, na wenye vipato duni pia ulaya wapo. Inshu hapa mamlaka husika zimepiga pini la hatari kuingiza takataka. Huu ukweli mchungu mbona unaukwepa kuukubali!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonekana ni mtu wa lawama sana, hakuna wa kulaumiwa hapa. Hoja ni hatua zinazochukuliwa sasa china akileta msuli atapasuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni mtazamo na hisia zako siwezi kuzuia kusema hivyo

Hata trump alisema anachokifanya kitamchoma kila mtu na wamarekani wawe watulivu tu maana impact yake ni kubwa vile vile ya zile tarrifs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaonekana ni mtu wa lawama sana, hakuna wa kulaumiwa hapa. Hoja ni hatua zinazochukuliwa sasa china akileta msuli atapasuka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mpasuko ni kote mkuu hapa hakuna win-win situation

Hata USA yenyewe itapata mpasuko sana.

Kibaya zaidi USA ana trade deficit sio na China tu ni karibia na nchi zote kubwa hii inaashiria aliua sana viwanda kwake

Ndio maana Trump hataki kabisa kusikia umoja wa ulaya anatamani uvunjike hata kesho.
Screenshot_2019-03-09-17-59-15.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mamlaka zinafanya kazi, huwezi kuta takataka kule. Wanapeleka vitu vya maana tu. Na siku mamlaka zetu zikiamka ni pigo kwa china. Mkuu pressure plate ya clutch wiki mbili tu ishatepeta gia ngumu kama jiwe kweli hii ni haki?! Jamaa wanatia sana hasara.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama zinafanya kazi ina maana bidhaa bora kutoka china zinaenda Europe

Swali la kujiuliza kwa nini hizo bidhaa haziji na Tanzania ukipata jibu njoo nalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pigo vile vile kwetu na tutasababisha inflation kwa kuletewa bidhaa za bei ghali hatutaweza kumudu

Na watabadilika na kuleta bidhaa zenye ubora je tutaweza kununua?

Bidhaa muhimu zitapotea kabisa madukani je tutaweza kuhimili hilo?

Uzuri wa china wapo flexible tukitaka bidhaa bora tutaletewa kama zinazoenda USA na europe na tukitaka taka taka tutaletewa vile vile

Chukulia tu mfano wa pikipiki kama sanlg au haojue je tutaweza kuwa na mbadala na hizo tukanunua zile BMW au harley Davison?

kama umefika Europe umewahi kuona sanlg au haojue?hata china tu kuzikuta barabarani ni ishu hii kitu kinaitwa market segmentations

Tunatumia haojue kutokana uwezo wetu kwa kifedha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bidhaa muhimu haziwezi kupotea hata siku moja. Hizo fakelo za mchina zina umuhimu gani?!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom