Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Mpasuko ni kote mkuu hapa hakuna win-win situation

Hata USA yenyewe itapata mpasuko sana.

Kibaya zaidi USA ana trade deficit sio na China tu ni karibia na nchi zote kubwa hii inaashiria aliua sana viwanda kwake

Ndio maana Trump hataki kabisa kusikia umoja wa ulaya anatamani uvunjike hata kesho.
View attachment 1043897

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! Wewe unaishi dunia ya wapi?! Mbona US, Canada na Mexico walishamaliza toka mwaka jana november 30 pale Buenos Aires. Na sasa biashara inaendelea kubalance na inaendelea kushamili baina yao. Mmexico na mcanada wala hawakushupaza shingo kiivyo make walijua trump sio mtu wa mchezomchezo. Sasa ni zamu ya mchina, alishupaza shingo ila sasa alishalainika baada ya kupewa siku ya mwisho ili tozo zingine ziwekwe au ajisalimishe hatimaye akajisalimisha mwenyewe washington.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bidhaa muhimu haziwezi kupotea hata siku moja. Hizo fakelo za mchina zina umuhimu gani?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Fake tumetaka wenyewe,leo hii mfani tukipiga marufuku pikipiki za china watu wangapi wana kosa ajira

Sio pikipiki kuna bidhaa nyingi sana tunaagiza kutoka yani almost everything

Hadi vidude vya kucholonea masikio sio mchezo kabisa

Vifaa vingi vya hospital vinatoka China kwa sasa hatuna uwezo wa kuivimbia china yani hadi viatu tunatoa china

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hii sikubaliani nayo
Angalia maelezo ya hawa Forbes,raia wa china wenyewe wanasema kwamba hakuna kilicho ongezwa kwenye smartphone kwenye miaka hii ya karibuni yani ina maana watu huko hawanunui simy kutokana na majina wananunua kutokana na price na vile vile new features

Kwa miaka hii ya karibuni toka job kufariki iPhone hawajafanya improvement kubwa kabisa au hawajaweka vitu vipya kwa mtazamo wangu.

Zaidi zaidi iPhone zimeongezeka ukubwa yani kiukweli huwezi tofautisha iPhone XR na ile X labda ile back Glass

Mbadala ninaozungumzia ni kwenye soko la China.

Why Apple Will Lose China Market Share In 2018, Despite The Success Of The iPhone X

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi sehemu unapopeleka vitu fake na wanavipokea unapiga hela zako kuna haja ya kuhangaika kuwapelekea bidhaa original?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa usilalamike maana hata ukiletewa bidhaa original hununui

Na hoja hapa ilikua ni kwamba china wana bidhaa fake tu kumbe ufake tumetaka wenyewe maana wenzetu ulaya wana pelekewa bidhaa original kabisa

Siku nyingine ukienda sokoni kama ukikuta bidhaa fake mwambie muuzaji akuagizie bidhaa original uandae tu pesa yako bidhaa original za china zipo nyingi kazi ni kwako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh! Wewe unaishi dunia ya wapi?! Mbona US, Canada na Mexico walishamaliza toka mwaka jana november 30 pale Buenos Aires. Na sasa biashara inaendelea kubalance na inaendelea kushamili baina yao. Mmexico na mcanada wala hawakushupaza shingo kiivyo make walijua trump sio mtu wa mchezomchezo. Sasa ni zamu ya mchina, alishupaza shingo ila sasa alishalainika baada ya kupewa siku ya mwisho ili tozo zingine ziwekwe au ajisalimishe hatimaye akajisalimisha mwenyewe washington.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na europe bado hawaja settle

Sent using Jamii Forums mobile app
 
China wamelipa kisasi Kwenye Boeng
haaaah,mkuu acha utani basi ile ni temporary sababu ile Boeing max ina mapungufu kwenye software ndio airlines nyingi zime suspend kama vile Indonesia's lion,ethiopia airline,aeromexico na mashirika mengine yatafuata ila Boeing wameahidi kufix hiyo software malfunction ndani ya week kadhaa

Wame ban temporary kwenye fleet ya boeing max sio zote mkuu.

Boeng lingine kutoa Ivory Coast kwenda France ikiwa imebeba watu 500 nalo nusu nusu kubutuka
 
Duh! Wewe unaishi dunia ya wapi?! Mbona US, Canada na Mexico walishamaliza toka mwaka jana november 30 pale Buenos Aires. Na sasa biashara inaendelea kubalance na inaendelea kushamili baina yao. Mmexico na mcanada wala hawakushupaza shingo kiivyo make walijua trump sio mtu wa mchezomchezo. Sasa ni zamu ya mchina, alishupaza shingo ila sasa alishalainika baada ya kupewa siku ya mwisho ili tozo zingine ziwekwe au ajisalimishe hatimaye akajisalimisha mwenyewe washington.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lipo kwa marekani wenyewe hivi walikua na trade deficit mpaka na Mexico ina maana walizubaa mno

Ina maana mexico walikua wana export zaidi marekani kuliko wanavyo import kutoka USA

USA alikua na deficit karibia na kila nchi kubwa,je tatizo lilikua lipo wapi na wasiwalaumu china kabisa wenyewe walizembea kwenye biashara walikua busy topple government za nchi zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna simu inayotengenezwa china mkuu...unajua maana ya phone assembling...?? china anatengeneza simu zenye silcon materiols kidogo sana ...

Transistor na motherboard zinatoka singapore na South korea kwa hiyo mchina kaingia tenda ya kufanya electronic assembling tu na kupiga chapa kwenye simu....

Ni components ndogo sana anazotengeneza mchina ukilinganisha na simu yote kukamilika...

Nchi zenye uchumi mkubwa duniani ni kama Singapore ambae anapiga pesa kimya kimya kwa kuwatengenezea motherboard pamoja na transistor za kutosha kisha anaziuza kwa nchi ambazo zimeingia ubia wa kufanya assembling ya electronic processors ...unakuta Simu ya Nokia imetengenezwa China lakini sio kuwa imetengenezewa kule ila imefanyiwa assembling na chapa nchini China..ukiangalia ndani ya vifaa vyake utakuta transistor inachapa ya south korea ,RAM ina chapa ya Singapore au Finland, mpaka motherboard inakamilika imehusisha kampuni kama 6 kutoka nchi tofauti ambazo zinatengeneza components tofauti..

Naomba ufuatilie kwa ukaribu sana mnunuzi mkubwa wa madini ya Silicon na germanium ,na mara nyingi utakuta ni Singapore na South korea ..manake nini...Vifaa bora vya kielectronics tunaangalia muundo wa electronic diode system pamoja na transistor component formation yake katika materials...kinachoifanya simu kuwa na kasi kubwa na ufasta wake ni asilimia ya silicon components ilizonazo ...kuna kiwango gani cha silicon katika conduction ya umeme kwenye simu!!?? hicho ndo kitaipa simu bei kubwa....Silicon smartee ipo Singapore na South korea ,kidogo na Finland na marekani .

Silicon ndo madini ghali duniani kwenye system za umeme ndo vifaaa vyenye transistor za silicon vina ghalama sana...

Ndo mana utakuta iPhone inauzwa bei tofauti tofauti lakini jina ni moja na ukubwa ni moja pamoja na Android Operating System( OS) pamoja na Kennelly version pamoja na Android version kuwa sawa ila bei inatofautiana kabisa...

Kuna iPhone ya laki 5 na kuna iPhone ya laki 8 na kuna iPhone ya milion 1.6 lakini zote ni toleo jipya...

Utofauti unakuja kwenye transistor zimetengenezwa kwa aina gani ya madini...je ni silicon au ..! kwa hiyo unakuta motherboard ya iPhone ya milion 1.5 imeundwa na 80% ya silicon components transistors ila iPhone ya laki 5 ina transistor ambazo zina 30% silicon materials ...kwa hiyo kasi ya operation lazima iwe tofauti..mwenye ya milioni moja na laki 5 lazima itakuwa na speed kubwa sana kuliko ya laki 5..

Kwa hiyo nchi za south korea na singapore zinapiga pesa ndefu sana kwenye haya mambo na zimefikia hatua ya kuwalipa watu hata ambao hawana kazi yoyote nchini mwao...manake kazi ya kuuza electronic components za hali nzuri inaingiza pesa nene sana...

Nimekuelewa mkuu
 
Tatizo lipo kwa marekani wenyewe hivi walikua na trade deficit mpaka na Mexico ina maana walizubaa mno

Ina maana mexico walikua wana export zaidi marekani kuliko wanavyo import kutoka USA

USA alikua na deficit karibia na kila nchi kubwa,je tatizo lilikua lipo wapi na wasiwalaumu china kabisa wenyewe walizembea kwenye biashara walikua busy topple government za nchi zingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu hilo hakuna wa kulaumiwa, deficit ipo na sasa partiner mmoja anataka marekebisho ili iwepo balance, ajabu huyu mmoja anataka kugoma waendelee hivyo hivyo ili deficit iendelee kuwepo azidi kunyonya. Hapo ndo lawama zinaanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukichukulia nchi kwa nchi US top 3 trading partiner ni china, Canada na Mexico, na ndo kaanza nao

Sent using Jamii Forums mobile app
European unaiacha wapi na hao nao ana deficit nao kubwa tu

Na hawa jamaa huwa wanatengeneza bidhaa kwa pamoja halafu wanauza

We hujiulizi kwa nini trump kwa nini hata umoja na hata amewahi kumuambia rais wa ufaransa ajitoea umoja wa ulaya ili afanye nae biashara vizuri na ana support sana brexit

Na europe ikimfuata huyu trump itaanguka kifudi fudi nina wapenda Germany mara nyingi wana msimamo sana hasa kwenye mambo ya kibiashara na vita vita
Screenshot_2019-03-12-18-24-31.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhusu hilo hakuna wa kulaumiwa, deficit ipo na sasa partiner mmoja anataka marekebisho ili iwepo balance, ajabu huyu mmoja anataka kugoma waendelee hivyo hivyo ili deficit iendelee kuwepo azidi kunyonya. Hapo ndo lawama zinaanza

Sent using Jamii Forums mobile app
Balance kwa sasa ni ngumu mno mpaka warudishe viwanda kwao ila sio hivi viwanda viwe nje ya marekani kumbuka European union tu ina deficit kubwa tu na USA

Sio rahisi kuitoa hii deficit kwa sasa hata kama waweke tarrifs kiasi gani hakuna deal itakayo wafaa wa marekani kwa sasa kuondoa hiyo deficit zaidi ya kurudisha viwanda nyumbani kwao na ili waache ku import bidhaa zao wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka jana Rais Trump na rais wa European commission Juncker walitangaza kuhusu majadiliano ya kibiashara baina ya US na EU. So muda wowote dili litasainiwa. Kumbuka EU ni nchi nyingi bila shaka lazima wakubaliane kwanza wao ndani ya EU.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tusubiri tuone hiyo deal maana hata na China nao watafikia tu mahala japo USA illegal means za ku negotiate kwa kumkamata CFO wa huawei awe kama bargaining chip

Swali la kujiuliza USA itaendelea au itaacha ku import bidhaa zao wenyewe kama itaendelea ina maana deficit iko pale pale au siyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom