Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Ulichosahau ni kwamba android OS ni open source kama Linux au hauelewi maana ya open source applications or operating systems

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa Open Source haikupi uwezo wa kutengeneza OS yako kupitia wao. Huo ni uongo.

Unachopewa ni certain amount of modifications kwenye Adroid.

Unatengenezaje OS yako wakati play store ipo US?

Wondows OS ilikufa kwa kukosa apps kwenye store yao.

Hao wachina wanapata wapi store ya apps zaid ya apple store na play store?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ulaya tu, Dunia nzima.
USA wakifanya vitu wao ni sawa tu ila sasa wakifanyiwa wao watakuja na sanctions zisizo mithirika.

Vuta picha labda russia au china ndio ingezivamia Iraq,Libya,syria

Au china ndio ingekua inataka kumtoa muduro wa Venezuela

Au labda russia aanze kujenga military base kule Cuba na Venezuela unafikiri ingekuwaje?

Ila yeye USA kupeleka wanajeshi kwenye mipaka ya russia anaona kawaida kabisa akija kufanyiwa yeye ata bwata kama mtoto dunia nzima utasikia Russia approach to latin america is entirely unprofessional and it is unacceptable

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna OS za mobile china zaidi ya 5

Sent using Jamii Forums mobile app
Twitter, Facebook, whatsapp, instagram, Google translator, nk ni products za US, vipi US wakizingua zisitumike kwenye Hizo OS za kichina! Je, Samsung ama Sony unadhani watakuwa tayari kutumia hizo OS za kichina ambazo hazina apps pendwa za wateja wao?! Mfano Samsung akienda Sony anabaki na hapo utakuwa mwisho wa Samsung mwanzo wa Sony kutamalaki make sisi wateja tutazifuata twitter na instagram ziliko

Hivi unajua kwamba kule china google play store ilipigwa ban muda mrefu tu?wachina wanatumia app zao wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utasikia mara bashite kusema hivi, mwingne anashangaa tukio la mohamed kutekwa, mara marufuku mikutano ya kisiasa ila slow slow na bashiri ruksa. Kumbe ndo elimu ya kibongo! Bas sishangai ndo maana tuko hapa
Unafikiri porojo siyo elimu au unajua elimu ni kitu gani?

Mpaka kusema uongo,kuwa mchawi zote hizo ni elimu au unafikiri elimu mpaka uwe na desa(kitini)

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twitter, Facebook, whatsapp, instagram, Google translator, nk ni products za US, vipi US wakizingua zisitumike kwenye Hizo OS za kichina! Je, Samsung ama Sony unadhani watakuwa tayari kutumia hizo OS za kichina ambazo hazina apps pendwa za wateja wao?! Mfano Samsung akienda Sony anabaki na hapo utakuwa mwisho wa Samsung mwanzo wa Sony kutamalaki make sisi wateja tutazifuata twitter na instagram ziliko

Sent using Jamii Forums mobile app
China ina watu 1.4B, na wenye kipato cha kati ni zaidi ya 700mil, up hapo?
 
Kuwa Open Source haikupi uwezo wa kutengeneza OS yako kupitia wao. Huo ni uongo.

Unachopewa ni certain amount of modifications kwenye Adroid.

Unatengenezaje OS yako wakati play store ipo US?

Wondows OS ilikufa kwa kukosa apps kwenye store yao.

Hao wachina wanapata wapi store ya apps zaid ya apple store na play store?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu google play store kule china imepigwa ban kule china wanatumia application stores zao ngoja nikutajie ambazo ni popular

1.Myapp ya tencent
2.Baidu app store
3.Xaiomi Phone store
4.360

Zipo application store nyingi tu ambapo kwa raia wa china atapata application za kutosha tena zikiwa na mbadala wa popular app popular zote kuanzia facebook mpaka google maps.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twitter, Facebook, whatsapp, instagram, Google translator, nk ni products za US, vipi US wakizingua zisitumike kwenye Hizo OS za kichina! Je, Samsung ama Sony unadhani watakuwa tayari kutumia hizo OS za kichina ambazo hazina apps pendwa za wateja wao?! Mfano Samsung akienda Sony anabaki na hapo utakuwa mwisho wa Samsung mwanzo wa Sony kutamalaki make sisi wateja tutazifuata twitter na instagram ziliko

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiletewa huku simu hiyo hiyo ya china application ulizozizoea utazipata ila ukiwa kwao china utatumia application zao wa china unafikiri hawa wachina hawana akili

Ila simu ikiwa ndani ya china hata google map hutoipata

unafikiri application ikipigwa ban kwenye ardhi ya china na huku nako itakua haifanyi kazi na kutakua na access ambapo simu ikitoka nje ya china unapata kila kitu ila ukiwa ndani ya china unatumia applicationa zao tu na hutaziona hizo Twitter wala Facebook

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utasikia mara bashite kusema hivi, mwingne anashangaa tukio la mohamed kutekwa, mara marufuku mikutano ya kisiasa ila slow slow na bashiri ruksa. Kumbe ndo elimu ya kibongo! Bas sishangai ndo maana tuko hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata huko marekani elimu ya uchawi ipo na hata ya ulaghai pia na ndio maana wakina carl peters walikua na mikataba ya ulaghai unadhani hivi vitu tumevitoa wapi

Marekani kwenda kuivamia iraq kwa pretext ya WMDs unafikiri ule ulikua sio ulaghai na baadae wakapata faida

Kilichopo labda useme tumeshindwa kutumia elimu ya ulaghai vizuri ili tuendelee

Hadi china katumia elimu ya ulaghai kuwa sainisha wamarekani mikataba ambayo wanaiita mibovu na kanufaika mpaka leo hii tunapoa muona pale

wakoloni wametumia sana elimu ya ulaghai kuchukua na kuzoa mali zetu tanzania na africa kwa ujumla

Elimu yeyote ukitumia vizuri ina manufaa yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Soma vizuri hizo screenshots kutoka forbes nafikiri utaelewa vizuri hawa Samsung na huawei ni maker wakubwa wa simu duniani na wamempita apple lakini apple ndio ana market kubwa zaidi kutokana na kua na revenue kubwa kuzidi wote hao

Ni hivi hauwei na samsung wamejikita kwenye customer wa kawaida sana ambapo wananunua devices kwa bei rahisi ila apple amebase sana kwenye high end profile devices na high end consumers ndio maana hapo umeona ana revenue kubwa sana

IPhone XR inauzwa dollar 1000,je hi dollar 1000 unapata hauwei ngapi za mtu wa kawaida?View attachment 1040818View attachment 1040819View attachment 1040820

Sent using Jamii Forums mobile app
iPhone XR inauzwa $1000??...hapa umetupiga kamba

Labda kama ulikuwa unamaanisha iPhone X,Xs
 
Kuwa Open Source haikupi uwezo wa kutengeneza OS yako kupitia wao. Huo ni uongo.

Unachopewa ni certain amount of modifications kwenye Adroid.

Unatengenezaje OS yako wakati play store ipo US?

Wondows OS ilikufa kwa kukosa apps kwenye store yao.

Hao wachina wanapata wapi store ya apps zaid ya apple store na play store?

Sent using Jamii Forums mobile app
Windows OS ipi ilikufa hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
iPhone XR inauzwa $1000??...hapa umetupiga kamba

Labda kama ulikuwa unamaanisha iPhone X,Xs
Asante kwa comment yako nime screenshot ukurasa wa amazon angalia kwa macho yako mwenyewe.
Screenshot_2019-03-09-11-42-05.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi unajua kwamba kule china google play store ilipigwa ban muda mrefu tu?wachina wanatumia app zao wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi kweli kweli! Ushasema ilipigwa ban, ni kama vile leo jamii forum ipigwe ban huwezi kupost hapa utalazimika upost kwingine kama unataka kupost. Yaani ni kama vile ubwabwa upigwe ban utalazimika usiule hata kama unaupenda. Hadi hapa nadhani ushajua hujajibu hoja, haya basi jibu sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom