Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Huawei yaifungulia kesi Serikali ya Marekani

Mkuu uje na hoja kwa nini haiwezi kuwa mbadala wa iPhone. Jitahidi kuwatendea haki wachangiaji ili nawe uwe sehemu ya kujibiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda yeye ndio angefafanua, mbadala kwa nini, umbu au mfumo? What make an iphone is IOS, user wa IOS hawezi akafeel android kama mbadala. Hata mimi nilishangaa huyo jamaa alipodai Xiaomi ni mbadala wa Iphone. Ni kweli ukimchukua addict wa iphone anaweza kuwa comfotable kutumia Xiaomi? Au kwa sababu wametoa simu inayofanana na Iphone X kiumbo?
 
Suala ni kwamba iphone zitaendelea kuwa assembled na kuuzwa na marekani wataendelea kupata faida hata zikiwa asembled india. China watakosa wanachopata kitaamia india (nimeitaja india kwa sababu india kuna cheap and skilled labour kama china, makampuni mengi ya kibepali wanaenda huko kama alternative) sasa nidadavulie, ni nani atalose hapo?
Ndio wapeleke India kwani shida ipo wapi?

Lakini trump anataka warudi kwao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuanguka kwa China ni rahisi kuliko USA.

USA anaweza simama mwenyewe kwenye kila nyanja ila China hana pa kusimamia.

Teknolojia za Uchina ni za kutegemea Ulaya na Marekani kwa kiasi kikubwa.

Hao wa magharibi wakifunga viwanda vyao uchina na kuvirudisha nyumbani ndo mtaona anavyoyumba.

Sent using Jamii Forums mobile app
China ndio nchi inayoongoza kwaku file patent nyingi zaidi,hiki kitu kinamaanisha nini kwako?
Screenshot_2019-03-12-11-43-38.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchina ni wa kupigwa vita duniani kote,hata Aliko Dangote alishawahi kuelezea hili.
Mchina anajaza mabidhaa yasiyo na ubora tena kwa Bei Chee hii inasabisha wenyeji kushindwa kushindana kwenye soko na kuwaachia wachina watawale soko. Hii Trump kaipunguza na tumeona faida ya kupiga bidhaa za hawa jamaa tariffs maana tangu Trump aongeze ushuru wa Chuma na alumina leo hii viwanda vya alumina vimeanza kujengwa tena Marekani. US Steel CEO: We're reopening an idled plant and bringing back 500 jobs due to Trump tariffs

“If you look at what president Trump is doing right now—not that I agree with what he is doing because they are in a totally different economy to what we are—but if you look at where we are today, where there’s no protection, then you are not going to have any industries, Dangote said to rousing applause.

Africa’s richest man thinks Donald Trump is onto something with higher tariffs

Sent using Jamii Forums mobile app
Viwanda walivyojenga zamani vilienda wapi na kama vilihamishwa au vilikufa nini kilipelekea hivyo viwanda kufa?

Unajua kwa miongo hii miwili mitatu taifa la marekani liliijushugulisha sana na vita zisikua na mpango huku mwenzake china akiwa na kipaumbele cha biashara zaidi ni kama ni tu ilivyokua kwenye vita ya pili vya dunia ulaya wanashughulika na vita yeye marekani anafanya biashara na mpaka akatoboa

Sasa miongo hii mitatu USA kaijsahau na vita vita mwenzake china anafanya business huku russia anazidi kujipanua kule artic leo hii america anaanza kumaind kwamba kapoteza zaidi ya 7 trillions kwenye hivyo vita bila faida inayoeleweka labda zaidi zaidi kuuza silaha maana kama alifuata mafuta hawa wachina wanayachukua wa dezo sana bila hata mtutu wa bunduki na kuna kipindi USA wenyewe walishangaa sana hili kwa nini wao wanachukua mafuta kwa bunduki lakini china wanachota kwa mteremko tu.

Kupanga ni kuchagua,waanze kurudisha viwanda kwao na china ameisha acquire technology kwa kiwango kikubwa sana na cha zaidi soko la ndani analo

Kitakacho muwi ngumu USA na production cost kule ni kubwa mno hizo bidhaa anashindwa kufanya competition labda aanze kuwanyonya wafanyakazi wa marekani na kufuta union workers na idadi ya watu waiongeze kabisa na kuwe na high skilled cheap labour

Marekani iliweka tarrifs za kwenye aluminium ili magari yanayotoka Germany yawe gharama yasishindane na ya USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa amesumarize content nzima za jinsi gani China inavyo fanya Surveilance kwa wananchi wake.

Australi na baadhi ya nchi wamepiga marufuku Huawezi na ZTE kufanya kazi nchini kwao kwasababu haya makampuni ni agents wa serikali ya uchina.

ZTE wamemsaidia Maduro kufanya surveilance wananchi wake.
A new Venezuelan ID, created with China's ZTE, tracks citizen behavior

Soma hiyo habari hapo.

Hiyo ni mifano michache ya jinsi gani China ni nyoka dunia hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani USA haifanyi surveillance kwa raia wake,kwani kile alicho kiibua snowden kilikua ni nini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa amesumarize content nzima za jinsi gani China inavyo fanya Surveilance kwa wananchi wake.

Australi na baadhi ya nchi wamepiga marufuku Huawezi na ZTE kufanya kazi nchini kwao kwasababu haya makampuni ni agents wa serikali ya uchina.

ZTE wamemsaidia Maduro kufanya surveilance wananchi wake.
A new Venezuelan ID, created with China's ZTE, tracks citizen behavior

Soma hiyo habari hapo.

Hiyo ni mifano michache ya jinsi gani China ni nyoka dunia hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na hakuna nchi isiyofanya surveillance kwa raia wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye suala zima la teknolojia China yupo nyuma sana.

Vumbuzi nyingi zilizoenda shule zinafanyika nchi za magharibi ila mass production inafanyika China.

Anachoweza fanya mchina ni reverse engineering. Anaichukua product anaisoma then anatengeneza clone.

Ndio maana unaona televisheni ziandika Singsang ili wajinga wahisi zimetengenezwa na Samsung.

Iwe software au hardware, China yupo nyuma mno.

Anachoweza pekee ni kudukua makampuni ya west kuiba teknolojia.

China huyohuyo aliiba teknolojia toka kampuni ya At&t. Akawaibia Siemens teknolojia ya kutengeneza treni za umeme.

Hiyo 5G imefanyika kwa partnership kati ya Huawei, Nokia na Siemens ila wenyewe hawawezi fika popote.

Hata Chips na Semi Conductors zinazoendesha mitambo ya 5G zinatengenezwa marekani.

China ni mwizi kupita maelezo. Mitambo anayokuja ifunga afrika lazima kuna backdoor inaachwa kwa ajili ya kudukua. Mfano wa ile mitambo ilofungwa makao makuu ya umoja wa afrika.

Mwaka jana kuna components za servers zilizouzwa makampuni ya ulaya wameweka vifaa vya kudukua system nzima hadi congress ikaingilia kati.

China hana uwezo wa kusimama na nchi kama Finland let alone Japan kwenye ugunduzi. Wao kama sisi tu Afrika, sema wao wana skilled cheap labour ya kufanya mass production.

Huawei au kampuni yeyote ya china haiwezi simama na Apple au Nokia kwenye ubora wa bidhaa zao. Never Ever.

Ulaya na marekani wameamua kwenda South East Asia kama Thailand, Malaysia, Phillipines na India. Wanaweka huko mitambo yao.

Hawa jamaa ni wa kupigwa vita duniani kote. Ni parasites waliopitiliza. They are way below standards kwenye kila kitu dunia nzima.

Ukija Afrika, unamkuta mchina anafanya kazi za kuchimba mtaro, halafu anaitwa muwekezaji. Wakati huwezi mkuta mzungu anafanya hizo kazi hata nchini kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe hata ile reli ya kenya iliyojengwa na china nayo ni mtaro?

Standard ndogo ni kutoka na hela yetu tu mbona hawa jamaa wana project nyingi tu ulaya juzi tu wametangaza kujenga reli china ya bahari kule ulaya kama sikosei finland

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Suala ni kwamba iphone zitaendelea kuwa assembled na kuuzwa na marekani wataendelea kupata faida hata zikiwa asembled india. China watakosa wanachopata kitaamia india (nimeitaja india kwa sababu india kuna cheap and skilled labour kama china, makampuni mengi ya kibepali wanaenda huko kama alternative) sasa nidadavulie, ni nani atalose hapo?
Ila bado kumbuka china ndio soko kubwa la iphone,watakao endelea kulose hapa ni Apple mkuu.

Unajua kitu kimoja ukielewe,kampuni ya apple na kampuni zingine za marekani zina viwanda China na vinamilikiwa na marekani na products zikitoka china kwenda marekani bado zinahesabika kama ni imports ilhali zimetengenezwa na kampuni za marekani

Kwa hiyo kama ni lose kwa muktadha wa balance of trade ambao trump anaupigia kelele utaendelea pale pale hata kama bidhaa zitazalishwa India na mwisho wa siku india wata acquire tech na baadae USA itaanza tena kulalamika maana haiwezekani maandazi kila siku yana pikiwa kwenu na kwenda kuuzwa kwa jirani halafu kwenu msijue kuyapika mtakua wajinga kabisa hata kama mnaletewa madida yakiwa tayari kuchomwa.

Isitoshe India na marekani bado nao deficit problem na marekani inataka nayo kuipunguza na ikihamishia viwanda huko itakua imeruka mkojo na kukanyaga mavi ni sawa tu na kutoa hela mfuko wa kulia na kuweka wa kushoto.

Kupeleka mitambo huko ndiko kutapunguza balance of trade inayopigiwa kelele na Trump?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani lazima waende kwenye soko la china?hakuna masoko mengine

Maana hata India wana massive population wanakaribiana kabisa na china

Sent using Jamii Forums mobile app
sasa mbona wewe maneno mengi yanakutoka USA wakitaka kufanya wanachokifanya kwa China? kwani ni lazima China wawe USA,waende na wao kwingine sio lazima USA,hapo vipi?
 
Unaweza ukapitia na maelezo kidogo hapa ili uone kwanini Simu imeoneshwa kufanyiwa release China ila Manufacturer ni Taiwan na kampuni haipo China..

Ukiambiwa China anafanya assembling usiwe unabisha kwa nguzu zote as if una data zote...
Imefanyiwa release china sababu kule ndiko kwenye soko kubwa la mobile phone duniani we ulitaka wafanyie Kilolo au ifunda iringa

Una launch bidhaa yako sehemu ambayo ina market ya uhakika labda hiyo bidhaa iwe unatumika kwenye local area tu

Huwezi ukaunda pikipiki hapa bongo halafu ukaenda kuizindulia uporoto rungwe huko ila ukizindua bidhaa kama makoti na ma blankenti unaweza kwenda kuzindua huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apps zao wenyewe ngapi?

Play Store na App store ina zaidi ya app malaki za kila aina na zenye uwezo wa kufanya mambo mbalimbali.

Mpaka waweze tengeneza apps zao wangeshakuwa na store yao mbadala wa hizi store maarufu.

Na ndo ingekuwa rahisi kutengeneza OS yao.

Kutengeneza OS ni rahisi ila hutapata developers wa kukutengenezea apps waulize Windows OS.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka wana app mpaka za kujua kama mtu ana madeni au laa

bongo tu hapa kuna vijana wana unda mobile app zilizokua based kwenye Unix

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana nikakuambia fikiria vizuri lakin wewe hujataka kabisa kufikiri. Kwani hivyo vifaa vya huawei ambavyo US imekataza vinatengenezwa US? umshauri China akatengenezee China!.
au unafikiri china naye anapopiga pini vitu vya US anaangalia kama ni made in US au made in China?! Kinachoangaliwa hapo ni product ya US hata kama imetengenezwa US kwenyewe au ndani ya china

Sent using Jamii Forums mobile app
Deficit kubwa ya china na USA ni bidhaa za USA wenyewe sasa nini kilichowafanya wapeleke viwanda vyao wenyewe in first place je makampuni ya marekani yaliona kuna nini kwao mpaka yakakimbia maana ni kampuni nyingi mno mpaka za nguo kama boxer shida hapa ilikua ni nini

Kulikua na regulations gani mpaka USA ikapeleka viwanda uchina na leo wanaona kama ni mwiba kwao?

Maana usa wana deficit kubwa karibia na nchi kubwa zote duniani na kama sikosei USA ndio nchi yenye deficit trade kubwa kuliko nchi zote duniani na miaka ya zamani haikua hivyo je walikosea wapi

Na tatizo lingine linakuja ndio nchi yenye deni kubwa to GDP ratio

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom