Unajua mkuu lazima USA atapetape maana unaambiwa mpaka miaka ya 1950 USA ilikua ina miliki uchumi wa dunia kwa asilimia 50% yani nusu ya uchumi wa dunia ulikua USA, ila kwa sasa wana 18% tu hii ni hatari kwao na walifikiri hakuna nchi zingine zitakazo ibuka inabidi tu wakubali matokeo kuwe multi polar world
Anamkataza Germany asisambaze 5G network kupitia huawei eti kwamba huawei ata spy europe na wakati yeye USA kipindi cha Obama ndiye aliyekua na scandal ya ku spy viongozi wa wa ulaya wakina merkel
Naona germany amegoma kila pressure anayopewa na USA kwa sasa kuanzia kupeleka navy force kule Kerch straight crimea,bomba la gas na ku ban huawei technology
Mtu akinunua silaha za kujilinda za urusi anapigwa sanctions anataka zinunuliwe zake na watu wanataka wanunue za russia huu ni wivu mkubwa sana wa kibiashara
kuna siku sanctions hazita fanya kazi kabisa.
Sent using
Jamii Forums mobile app