Wamegundua paper making,compass,gunpowder na printingMarekani hakuwahi kujisahau kwenye uchumi hata mara moja,hiyo China yenyewe leo imekua tajiri sababu ya Marekani maana kampuni nyingi zilizo China ni za Marekani. Na sasa gharama za uzalishaji nchini China zinaanza kua juu pia na hii inapelekea kampuni nyingi kuhamisha shughuli zao za uzalishaji kwenye nchi nyingine jirani kama Vietnam, Indonesia,nk. Pia trade war nayo imechangia kampuni kuhamisha shughuli zao nchi nyingine. Na kwa sasa uchumi wa China umeshaanza kupungua nguvu/Kasi ya ukuaji kutokana na kupungua kwa export,nk.
Embu mkuu nitajie teknolojia hata moja iloyogunduliwa na China?!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa sasa china ndio nchi inayo file patent nyingi zaidi kuliko zote duniani
Hata Marekani ilitajirika kupitia ulaya na Africa,Ulaya nayo ilitajirika kupitia Africa.
Au umesahau historia nini?
Sent using Jamii Forums mobile app